Inakuwaje wanajamvi!
Kidukulilo ni Billionea mshamba sana. Licha ya kuwa na hela lukuki na za kumwaga bado tu mshamba. Kwake magari kama Jeep ndio fahari kwake. Sijui ni kutokujuwa ama exposure...
Amini usiamini, aina ya gari unalomiliki linaweza kuelezea tabia yako kwa kiasi kikubwa.
Soma hapa: je, wewe tabia yako ni ipi?
1. IST, Raumu, Ractis, Passo, Nissan Tiida, Note, Mazda Demio...
Kumekuwa na wimbi la vijana wengi wanatamani kudate na pisi kali kila iitwapo leo.
Mtupe ujuzi; je, hawa pisi kali wana ubora upi na sifa zipi ukilinganisha na hawa wengne kwenye sekta ya mapenzi?
Kuna hawa wanawake hawashawishiki hususani pisi kali, kama wamekaza msamba kaa nao mbali. Kuwalazimisha unashusha 'brand' ya familia yako. Kuwa makini usije potea njia ukakutana na ngumi mchomoko...
Wadau!
Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Leo asubuhi nikiwa njiani kwenda kazini nmekutana na madubwi yasiyopungua 5 njiani. Binafsi sijawahi kabisa kuvutiwa kuyacheza, ila ongezeko la hizi...
Habari.
Kuna mwamba mmoja TikTok anaitwa Godfather, ana kauli mbiu yake moja ya "Vijana tafuteni hela". Kiuhalisia mimi kwa upande wangu naona anachoongea ni kweli, sema changamoto ni kwenye...
Yule bibi mwenye koti jekundu aligundua kuwa kijana huyo anajaribu bila mafanikio kufunga tai yake, akamwambia mumewe amsaidie kisha akamkinga kijana huyo na watu wengine ili asione aibu.'
SOMO...
Habari wana MMU?
Nikastory kafupi tu kiukweli. Sijawahi kumkula Mwarabu, ila leo nimekutana na Mwarabu, mtoto whiteeee [emoji847][emoji847] kwenye bus na nikaanza kumpigisha story anachekacheka...
Hapo vipi!!
Binafsi leo nimeshangazwa sana na ndoto hii kwasababu mimi siyo muuminu wake, wala siyo mfuasi wake kwenye kitu chochote na sijawahi kufika kanisani kwake na pia sijawahi kukutana...
Kuwa bonge la bwana sio lazima uwe na mwili mkubwa vile unavyowatendea wanawake (mapambo ya ulimwengu) ndiyo yatafanya mwanamke amwage machozi siku utakayomwambia "Me and you it's over".
Siyo mpo...
Hili jambo gumu, sema pia ni ushujaa. Kuna siku jamaa konda anamwambia hujalipa jamaa anasema kalipa na anadai chenji.
Alianzisha mtiti aisee, watu wakavu sana, ugomvi mkubwa jamaa mwisho...
Mimi: Baby naomba niletee parachichi nataka kuja kutengeneza juice
Yeye: Sawa
Mimi:Chagua tena mbovu kama kawaida yako (utani) [emoji1787][emoji1787]
Kafika kwa anayeuza: Nipe parachichi mbovu...
UMUGHAKA ana uzi wake wa kichawi, aisee unasisimua sana.
Nilipoanza kuusoma niliona ni hadithi tu, lakini sasa ninachokiona ni zaidi ya hadithi.
Kuna wamama niliwaota usiku uliopita wakiwa...