JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari zenu wanaJF!?....Mimi ni memba mpya nimejiunga ivi karibuni baada ya kuifuatilia JF kwa muda mrefu na kuvutiwa nayo sana...kwaio,tupo pamoja ndugu zangu,naamini tutapeana ushirikiano wa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Endeleeni kugoma tukomboe Taiga letu wabunge wanaanza vikao kesho kwa siku ni lakisha 2 .ukijumlisha tote take home on day360,000.
0 Reactions
4 Replies
819 Views
wakuu jana nilinunua Drostdy Hof Grand Cru wine ya Litre TAno! leo toka asubuhi baada ya breakfast nikaanza kuinyonya..dah! mpaka sasa niko ziiib! nina rahaje!!! Jumapili hii!!!!!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wale ambao maisha yao ya utoto hayakutofautiana na yangu watapata picha halisi. Nilizaliwa kwenye familia yenye kipato cha chini na kula kuku mpaka xmax.Na kuku akipikwa utamsikia mama 'hilo...
1 Reactions
76 Replies
7K Views
Nlikuwa na mpenz wang ambae nmedm nae kwa miaka mng,wakat namalza kdato cha 6,na yeye ndo alikuwa anamalza chuo cha ualm,kzazaa kmetokea mara baada ya yeye kpangiwa mkoa jiran na kwetu,na kjj...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
A sexpest's lust has been permanently tamed after his whopper was chopped by a man who nabbed him bonking his wife. Reliable sources identified the victim as Joseph Edongot, a 34-year-old...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimejikuta napenda sana rangi ya blue is the most preferable colour ....ingawa pia napenda while katika mazingira ya MMU!! Wewe unapenda rangi gani? Babu DC!!
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Dear Preta It's your birthday and we can't be there But we send you a special birthday wish and a little prayer "We wish that all of your birthday wishes come true, May you have a great time today...
10 Reactions
133 Replies
9K Views
  • Closed
We jamaa acha dharau nimekutumia Pm juu ya suala la msingi sana kwa uwepo wangu hapa Jf,ila mpaka hivi sasa kimya ata jibu lolote hunipi..ayo sio mambo mchizi wangu,izo habari za kujiskia kavu...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Mpendwa my fellow Jf membar, awali ya yote nakuomba unipe macho na maskio na uvumilivu wako uisome hii story. Kwa kuyahifadhi majina halisi ya wahusika, nitatumia majina ya kubandika. Mzee...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Jamani Mtwara kuna mambo. Jamaa mmoja katika ngoma za usiku walikubaliana na mpenzi wake wakutane kichakani kwa maongezi ya faragha. Jamaa akaenda kule kichakani akaona kivuli cha mtu kama kakaa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna watu mtaani huwa sometime wanakera sana, mkianza kubishana au kubishana kidogo ataanza ooh we mtoto wa mama nini!!, au we toto la mama!!. Sasa anaposema hivi anamaanisha nini, kila mtu si...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
mara nyingi tunakutana na vifupisho humu jf, baadhi yake virefu vyake ni hivi: LOL:Laughing out loud KISS: Keep it simple,stupid! IOW: In other words BTW: By the way BRB: Be right back AFK: Away...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Ladies and Gents!! After a stressful week furahi day is finally here.... Jf online party inaanza strictly from saa mbili, venue: Chit chat... hivyo njoo ukiwa umependeza, bring a date if u can...
7 Reactions
89 Replies
5K Views
Here is the solution to lengthen the life of your mobile battery. Just switch your mobile off, and that’s it you are done. Oh I forgot to mention one more advantage. You will also be able to cut...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
pedeshe mmoja akiwa na mkewe walikwenda muziki, binti mzuri alipita na kumsalimu pedeshe. Kuona hivyo mama akapata shaka, basi yakaanza mahojiano Mama: Yule nani? Pedeshe: Huyo ni nyumba ndogo...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Dah heb fkria one day una wake up morning then unakuta nje hakupo
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mambo vip Jamani? za wkend?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hospitali moja ya vchaa iliamua kuwatembeza vichaa wao siku moja,sasa katika safari yao wakaamua kupanda ndege,lakini wakati ndege iko angani sana msimamizi wa vichaa hao akaenda chooni lakini...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Katika saloon moja katikati ya mji, kinyozi wa ki Tz akiwa na mteja wake toka DRC alichafukwa na tumbo ghafla, si ndo ushuzi ukamponyoka sasa kuzuga yule kinyozi akamhoji mteja wake: Waonaje hali...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Back
Top Bottom