JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa mgomo wa madaktari upo kisiasa zaidi,haiwezekani wawakilishi wa serikali (MAWAZIRI)wanawakataa katika lengo la kuafanya mazungumzo ya kufikia muafaka,kama si kukaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jukwaa la matani limepoa sana . Tafadhali tunakuomba urudi ofisini.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
  • Poll Poll
nashauri ama kupendekeza pawepo na eneo fulani ambapo wadau mbalimbali hasa wale wenye kuhitaji kukutana na marafiki/wenza wapya, watakutana na iwe mbadala wa kiota cha mtandaoni. Sehemu yeyewe...
0 Reactions
99 Replies
5K Views
In a trial, a lawyer called his first witness, elderly woman and grandmother to the stand. He approached her and asked, "Mrs Peters, do u know me?" She responded, "Why, yes, I do know u, Mr...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
1. Kung'arisha viatu wakati unaenda kupiga passport size, 2. Kukaa kit cha mbele karibu na dereva halafu unamwambia konda shusha, 3. Kumwamsha mgonjwa ili umpe dawa ya usingizi, 4...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Wadau AshaDii was a popular figure hapa jamvini...she came up with a big bung. but suddenly vuu kapotea. where's AshaDii? Please come back wherever you are...!
2 Reactions
223 Replies
28K Views
Bibi kizee mmoja alikwenda benki moja maarufu sana hapa nchini ili kuweka fedha zake. Alipofika mapokezi aliuliza. "Naomba kumwona meneja mkuu wa benki hii" Mfanyakazi wa mapokezi...
7 Reactions
52 Replies
17K Views
Hebu fuatana nami hapa kwenye aina ya hawa watu. 1. YUKO AMBAYE HAJUI NA HAJUI KAMA HAJUI= (MWELEKEZE) 2. YUKO AMBAYE HAJUI NA ANAJUA KUWA HAJUI= (MFAHAMISHE) 3. YUKO AMBAYE HAJUI NA HATAKI...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jumanne - J4. . .JeiFoo Amina - Amyner (Amy ulinipa ruksa) Fadhili - Fad. . Faddy Cheupe - Che Jamila - Jamy Fatuma - Fatty Salama, Salima - Sally Mwajuma - MJ. . EmJei Elisante...
2 Reactions
141 Replies
9K Views
Habarini wana JF Nina swali nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hizi nyimbo za taarabu. Natanguliza samahani kwa ambaye atakwazika na swali hili. Swali lenyewe ni hili: Kwa nini hizi nyimbo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
alinitembelea nyumban kwangu toka juzi. Kwa bht mbaya ama nzuri kagundua mm ni IT mkali saana. Nampa mafunzo baada ya wk moja nitamuachia huru. Golden Mpoleee doc mrajiwa. Mazuri na mpole.
0 Reactions
26 Replies
2K Views
The Six Men in a Woman's Life who turns her on: 1. The Doctor, because he says; "Take your clothes off" 2. The Dentist, because he says; "Open wide" 3. The Milkman, because he says; "Do you...
2 Reactions
3 Replies
772 Views
Ratiba ya mwalimu Christopher Mwakasege inaonesha tarehe 29 Januari 2012 atakuwa Dar es Salaam. Kwa yeyote anayejua juu ya ziara hii ratiba yake na inafanyika wapi naomba anijulishe. Asanteni
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Nakuuliza ushawahi? Kudadadeki... kama hujawahi embu gonga https://www.jamiiforums.com/sports/135893-tp-mazembe-disqualified-from-african-champions-league-3.html#post1971013 halafu wivu...
7 Reactions
261 Replies
14K Views
Mmasai mmoja alipanda daladala eneo la hospitali kuu Moro. Daladala ilipofika eneo la shan darajani akamwambia konda " elo, imefika shusha hapahapa darajani" Konda akamwambia darajani hatushushi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
mume alimpa talaka mkewe wakaenda mahakamani ili mahakama iamue ni nani anapaswa kuishi na mtoto ? MKE : akasema mtoto ni wakwangu kwa maana nilibeba mimba miezi 9 nikapata uchungu kujifungua na...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Jamaa anamuuliza rafiki yake ... Hivi hadi sasa una umri gani? ... Rafiki anajibu... Miaka 56... Jamaa anamuuliza tena rafiki yake.... Baba yako mzazi alifariki akiwa na umri gani? .... Jamaa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimeulizwa na Yahoofriends sijapata jibu. Tusaidiane kijibu: OTEA LISA ATAKUWA KABILA GANI??? utaipata kwa Laki... John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tulikuwa tunapiga soga na mshikaji wangu mmoja na kukumbushana enzi zetu kule kijijini. Tutakumbuka jinsi tulivyopenda kwenda ngomani. Kwenye kijiji na Maramba kule Muheza Tanga kuna jamii kubwa...
4 Reactions
130 Replies
24K Views
Back
Top Bottom