Kuna ukweli wowote eti ukiwa Mheshimiwa pale mjengoni nilazima uwe umekamilika lazima uwe na Capacitor??(HIRIZI)ya ukweli Vinginevyo haliyako inaweza kuwa mbaya!:alien:
Unaamini ukituma sana sms zile wanazokata wastani wa shilingi mia tano au ile inayokaribia karibia utashinda? Hujaskia kesi kama vile mtu anachonga na wafanyakazi wa huko ili utangazwe mshindi...
Nimekuwa nabadilisha sana avatar kwa sababu mbalimbali zikiwemo kufanana na baadhi ya watu na wakati mwingine kutozipenda zile nilizoweka baada ya muda. Sasa naomba msaada wa mawazo wa avatar...
Hivi binadamu wa kawaida unapata wapi muda??kuandika ulichokiandika na mwisho ukakumbuka kuweka neno,MIA,MX,NALOG OFF!!Kwa ninavyojua siyo kwamba umetengeneza kama sign yako bali nilazima uandike...
Nimeshindwa hata kulala namuwaza huyu mtu!Nachoomba ni kimoja tu kutoka kwake,ataje jinsia yake kama ni mwanamke nitaendelea kumuapreciate kama kawaida, na kama ni mwanaume walahi tena napeleka posa.
Ananipenda,ananijali!Nilishaanza kuwa na amani moyoni mwangu kwa mapenzi mazito niliyopokea kutoka kwake.Tangu jana mpenzi wangu ameanza kuumwa sana,presha iko juu sana mpaka leo hali bado sio...
Nimekutana na habari kuwa kuna wezi wa mitandaoni ambao wanawadanganya watumiaji wa mitandao hiyo, baadaye kuwaibia.
Kuna wakati hata humu waliwahi kujichomoza (hasa kutoka nchi za Afrika ya...
nimejiuliza maswali mengi juu ya hili'post za mapenzi na mahusiano na umbeya zina wachangiaji wengi sana ukilinganisha na post za siasa na mambo mengine'hii inaonyesha dhairi ya kuwa aslimia kubwa...
Wakuu sina budi kuwashukuru moderators kwa banner la tangazo la ndovu barrrdi aisee.....Linahamasisha kufanya kazi kwa kweli.....imagine kwa sasa nimepata nguvu kweli kweli....
Mtoto mmoja alienda kucheza huku akiwa na viatu mguuni lakini aliporudi alirudi na kiatu kimoja mguuni baba akamuuliza kiatu kipo wapi ,mtoto akajibu kimepotea ,baba akamwambia bac mwanangu...
Ilikua ndan ya bus la mkoan jamaa mmoja alikua amekaa pemben ya msichana mrembo akaanza kumtongoza mara dada akaanza kucharuka yule jamaa akasema nakuuliza umejamba? Akasema jaman namuuliza kajamb...
Mtoto kamuona mama yake maziwa akamuliza mama hiyo ni nini? ,mama akajibu mapulizo,mtoto akasema ahaa kumbe ndio mana baba alikua anampuliza dada wa kaz kule jikoni . mother akazimia
You know.....in this Tz we live there are two things involved....
either you become a face book fan of JF fan..If you are face book fan you are safe..but if you are JF fan, there are two things...
Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata.
... Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza, Fred alipoinama kuichukua...
Kuna member wa kike kanizimia kitambi na macho yangu..sasa ananitaka na mimi siku zote wanawake wa humu ni masista wangu hata Faizafoxy...sasa huu si mtihani?.niendele au nidumishe udada?
Kutokana na mishemishe za English Premier League wikiendi hii, pamoja na AFCON 2012 iliyoanza rasmi J'mosi, nikajikuta sijaoga tangu IJUMAA... Usiulize wapi, Dar hiyo! Tena hukuhuku katikati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.