Wakuu hali huku kitaa ni ngumu sana,najaribu kuchakalika lakini mambo bado ni tight,sasa nahitaji na mi nafasi ya u green guard ili nijiunge kambini hatimaye nishiriki kwenye harakati za uchaguzi...
Ushawahi kusoma ule ukurasa wa mapenzi kwenye magazeti ya udaku zinakuaga na title kama "MUULIZE ANTI LULU" watu wanavyouliza maswali ya kimbuzi kama
-Anti, mimi ni kijana mtanashati,kuna binti...
John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza...
MKENYA: Eti naskia nyie mwatanzania mkiulizwa swali mnajibu kwa kwa kuuliza swali
MTANZANIA: We nani kakuambia?
MKENYA: duh!
Mi naomba niulize wabongo wenzangu, hii kasumba ya kujibu kwa...
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
TANZANIA HAS REJECTED THE NEWLY APPOINTED JAPANESE AMBASSADOR...
(Padri);Haya anza kuungama. (Mtoto):Dhambi ya kwanza;NILIUA!>> (Padri):Eenh!subiri kwanza,ulimuua nani?,kuwa huru mtoto,hautashtakiwa kwani hapa upo mbele ya MUNGU na atakusamehe buree...
Jamaa fulani wa kimasai alijisikia anaumwa hivyo akaenda hospitali kwa uchunguzi wa kitabibu, baada ya vipimo vya hapa na pale daktari alimuwekea kipima joto (thermometer) mdomoni ili aangalie...
Hi kulikua na baba alikua anaishi na
biniti yake,sikumoja binti akaja na
boyfriend wake usiku ,baba alipokua
kwa chumba chake akasikia yule
bfrnd akimwambia binti please
sitaingiza yote nita...
Jamaa katumiwa msg na dem wake,kutokana na urefu wa msg ikashindwa kufika yote mwishoni ikaandika'some text missing'jamaa na kizungu chake cha kubabaisha, hivyo maneno ya mwisho hakuelewa maana...
Tendo la ndoa TENDO LA NDOA LINAVYOOMBWA: WAMASAI: Mama Yeyo nipe ile kitu namesa mwensake WAHAYA: Mama Koku infacti njoo tuperform WACHAGA: Mama Manka Fungua Kibubu nitupe shilingi WAPEMBA: Mama...
Kuna jamaa mmoja mweny nyumb alikua alala chumban kwake hana hata kitanda mara akaja mtu anataka anatak chumb akampisha chumban kwake mara akalala seblen mara tena akaja mtu yuko tayar kulala...
Watoto Balaaaa!!>>
Baba: Shika hii Sh500 usimwambie Mama ako kamanimelala na Hausigeli.
Mtoto: Sitaki, tatizo we bahili mwenzio Mama akilala naDereva ananipa sh 1000! Baba:what?
Mtoto:HBR NDO HYO!
Wana Jamii kuna jambo limepelekea leo kuuliza mke wa Makamu wa kwanza wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar-Seif Shariff Hamad.
Nimeanza kumtambua Seif tangu nikiwa mtoto mdogo lakini mwenye uelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.