ni kweli magari yanaturahisishia shughuli zetu ila na maumbo yetu tuyatatendee haki!nimepishana na raia mmoja mwenye umbo mithili ya kapteni john komba ndani ya duet!!!dah......huu ni ubakaji wa...
Leo kwenye kipindi cha PB na G. Hando, ile story ya JF imesimuliwa na gwiji la Muziki Mrisho Mpoto, naona jamaa kaichukua kama ilivyo toka JF.
Inahusu yule bibi aliyechezea nyeti za mkurugenzi wa...
ni mtu wa aina gani?
je ni yule asiye na mali?
je ni asiye na marafiki?
Au ni yule anayetia huruma
unakuta mtu ameona mwenzake kakoswa na gar barabarani anapayuka masikini yule...
Golden Mpoleee alikua na nia ya kuwasimamia wananchi waweze kupata haki zao ili walau maisha bora yawe kwa kila mtanzania. ubunge mgumu ndg zang. siasa wametawala wanaume tu huko juu na wanawake...
Waamerika wawili,Peter Murphy na John Cogan walikuwa wanafanya kazi ya kujitolea mkoani Iringa katika idara ya misitu.Walipewa nyumba moja ya kuishi wote wawili, na baada ya muda wakaamua...
Mwenzenu kila nikiona Avatar yake natabasamu
Nikiingia kitu cha kwanza lazima nimuangalie kama yuko online..
Nikivuta post zako kuview naridhika tu
Hatajwi popote lakini anaonekana ni mpole sana...
wapo wazinifu 5 ambao waliamua kumrudia muumba wao na kuyaacha ya kale. siku moja walipokutana kila mmoja wao alimtambia mwenzie " yaani nyie acheni tu mimi nilikuwa muovu katika uzinzi kuliko...
Jamaa mmoja wa Mtwara alikwenda Nchini msumbiji kutafuta dawa ili amkomeshe jirani yake ambaye alikuwa na tabia ya kufanya mapenzi na mkewe. Alifanikiwa kupata dawa hiyo na kugeuzwa Simba ili...
A Nigerian mum says after receiving news that her teen daughter is pregnant, "chineeeke, my daughter u have killed me oooo, i told u if a man touches ur breast say 'DON'T' and if he touches ur...
Just for Laughs Juzi Kibaki,Moi &Raila were kidnaped. They were taken 2 a town they dint knw. Kila mtu akaambiwa' aende anunue matunda 10 ama auliwe. Moi alikuwa wa 1st kufika na machungwa 10...
Habari zenu warembo wote wa jamii forums, kwa muda mrefu nimekutana na hili jambo, kama mnavyojua mjini usafiri shida hasa mida ya kwenda vibaruani, so unapomsaidia mtu lifti hasa mdada unakuta...
Jamaa mmoja mkazi wa Kihonda Kwa Mkomola aliwavunja wenzie Mbavu katika daladala. Akiwa ndani ya daladala alipigiwa simu na mgeni wake ambae alikuwa anafika Morogoro kwa mara ya kwanza. Mgeni...
Yupo katekista mmoja alikuwa mlevi sana wa pombe. Hata hivyo ulevi wake haukuwa kikwazo katika kazi zake za kuchunga kondoo wa Bwana, aliaminiwa kanisani. Jirani na kanisa analofanyia kazi...
kulikua kuna usemi maarufu.."kukanda ngano" maana yake utakuta mtu muda wote mkono upo katika nyeti zake, anajikuna,duuh!!fangasi wanawasha jaman...
hatimaye unapata kitu kinaitwa PU*BU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.