JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sisi binadamu,Tunasikia kuna mungu au tunamjua mungu?
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza najitupa Chit Chat mnisaidie hili. Sina hakika kama lilishawahi kujadiliwa sana ama laaah lakini lengo hasa ni kutaka kufahamishwa ni jinsi gani unaweza ukailea nyumba ndogo...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Ndugu zanguni, nimekumbwa na kituko kibaya mjini arusha. Nilienda na ndugu yangu Bar jana, tukaagiza chakula. Tulikuwa tumeshakunywa konyagi kidogo. mhudumu kuleta chakula, akatuacha kwa kama...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
kweli siku hazilingani. hii siku inakuwa ngumu sana kuimaliza. Ari yangu iko chini sana. Sijui ndo black monday??? Not my usual thing, ngoja nikapige ulabu labda itasaidia.
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimeanza kuukubali msemo huu.Baada ya kung'atwa na nyoka kila nilipoona nyasi sikuweza kuacha kutapatapa! Nililia na mapenzi mie mpaka nikahisi na gundu, nikaapa sitaki tena mapenzi.Trust me or...
2 Reactions
74 Replies
4K Views
jamani mimi nashangaa ninalia ila sijui nini hasa kinanifanya nilie
0 Reactions
67 Replies
4K Views
ebwana kitaani kwe2 ni noma cause midnight moja mateja(vitale)watatu walikuwa nje ya nyumba katika dirisha moja,sasa wakwanza akachana nyavu ya dirisha na kuingiza mkono kumbe bwana mwenye chumba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
picha hii inasadifu maisha ya kimausiano ya binadam,uongooo..kweli?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi si wa siku nyingi sana hapa .Nimekuwa nikijiuliza.Kwanini wana JF majina yetu si halisi?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Folks, kila siku wanaenda wao tu, hata cuf walienda wakati wanachama wao ni wachache compared na jf. Twende na sie tukamuone jk 2mwambie matatizo yetu. Hebu fikiria pale saint ivuga ,the boss na...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
A young bridal couple went to a local hotel on their wedding night.The next morning the bride's closest girlfriend telephoned her to ask how married life agreed with her. "Oh Mary," she...
0 Reactions
1 Replies
756 Views
:A S 465:"Darling :A S 465: shem :A S 465: ODM":A S 465: Najua mwaka kwako umeanza vibaya... Na I know ilifika a time ukaona kama Mungu kakutupa vile.... Uzuri ni kwamba wewe Mwenyewe...
21 Reactions
744 Replies
34K Views
Kama wanawachumba samahani,heri nieleze tu hisia zangu,swaga za hawa warembo moyo wangu unaenda pah pah pah kama ni raia zinazonyoa ndevu basi wanajua kuigiza na kujifanya vitoto vinavyobalehe...
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Kulikuwa na rais mmoja wa visiwa fulani ya Africa (jina kapuni) alikuwa anaenda kwenye mkutano kuhutubia wananchi kama kawaida aliandaliwa points za kuongea ila hakuwahi kuipitia hivyo hadi...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Kibaki, JK and Mugabe got lost in the forest and were captured by cannibals. The cannibal king told them they could live if they pass a test. The first step of the test was to go to the...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimesoma gazeti la raia mwema la wiki iliyopita, kuna article ya mihangwa ina sema kuwa baadhi ya wabunge walisema bungeni kuwa wawe wanapigiwa saluti na polisi. Mwingine akaua akasema wawe...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Dah!yani wewe mshikaji sijui umepataje huyu mtoto wa kike,kiukweli wewe hustaili kuwa na mwanamke kama huyo,hufai hata kidogo tabia yako sio nzuri ni mshenzzzy kishezy,kicheche wa kiume,liar so...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Little Fabio of Magomeni Mapipa in Dar es Salaam wanted Shs 10,000 badly and prayed to God for two weeks but nothing happened. Then he decided to write God a letter requesting the Shs 10,000...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mtaliano mmoja baada ya kulala na demu, akampa dola feki. Baadaye akamcall, akamwambia "the doler I gave u is fekelo". Demu akamjibu "the HIV that I gave u is orginelo".
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Mke mvivu wa kusali,mumewe akamwambia ukianza kusali kila sala nitakulipa 1 elfu5,na kwakua kawaida mtu anasali mara tano kwa siku mke akasali wiki 1,akamwambia mumewe haya nipe 175000...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom