Mwanamke aliingia kwnye tax akiwa hana nguo,kma alivyozaliwa!Dereva akawa anamshangaa,mwanamke akamuuliza hujawahi kuona mtu akiwa uchi au! Dereva akajibu;ninachoshangaa c uchi wako,najiuliza pesa...
John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza...
Samahani jamani kama hiki ni kibaya kukisema.
Nimetokea kushangaa sana, untamkuta msichana mrembo sana. anavaa nguo mpya kila wakati. kwa kifupi ni sisita du.
Lakini kinachonikera jaribu kutebelea...
Wakuu ebu tuongee japo mengine yanaweza kuwa ni ugly truth au ni maze ya mila desturi na dini zetu tuongelee misiba na ViFO
Nitaweka dondoo na vichkonozi kadhaa ili kuanzisha mjadala
Kwa nini...
Kuna jamaa alikuwa anaumwa akaenda hospital alipofika hospital,akaenda hadi kwa Daktari .Daktari akamukaribisha aingie ndani jamaa akaingia maongezi yalikuwa kama ifuatavyo Daktari...
Nimekuwa mnywaji wa kawaida kwa miezi ya karibuni.
Wakati huo huo mzuka wangu kwa nyama choma na pilipili ukawa mkubwa...
Mwanzo nilikuwa naona hii kitu kwa wanywaji wengine, lakini na mimi...
Baada ya miaka kadhaa ya ndoa kupita......
MKE : Mme wangu mbona unasoma sana magazeti hadi usiku jamani na mie nakuhitaji!
MUM E;Mh h mhh...... (kamguno kidogo huku akiendelea...
Dazipozi kama kawaida yangu,baada ya kazi narud zngu home,wkti npta uchchroni,nilisikia mabishano kati ya mwanamke na mwanaume ambapo mwanaume alikuwa anasema:"Sasa itakuwaje?"
"Si nimekueleza...
Ndg zangu wanajamvi sijachangia lolote humu jamvini tangu mwaka huu uanze. Bann yangu imeisha na sasa mwenye wivu ajinyonge WA KUSOMA nimerudi jamvini.
Mmasai m1 alihudhuria msibani, ulipofika...
1. Curiosity killed a cat and saved a rat
2. Road to succes is alwayz under construction
3.Dont trust a young doctor nor an old barber
4.Time is the best teacher but unfortunately it kills all...
wakuu nipo Fairway pub,huwa nakuja mara kadhaa hapa.kwa wakongwe kidogo wenzangu watakubali huyu Dj hufanya tusahau dunia ya sasa! Hongera kwake kwa mpangilio bora wa Muziki hasa Zilipendwa!
umezuka wimbi jipya la uhalifu. Unakuta mfuko wa nylon (maarufu kama mifuko ya condom, rambo, plastic) barabarani . Ukiukanyaga tu lazima utapata puncher maana ndani yake kuna kibao...
Wana JF, nina kila sababu kusema najisikia huru na faraja kila niniingiapo humu jamvini. Hii ni kutokana na jinsi ambavyo The Great Thinkers tunavyojadili hoja zinazokuwa posted humu bila kujali...
So sad
mgonjwa mmoja alikuwa mahututi baada ya ndug kumepeleka kwa waganga 'na mahospital kibao bila msaada aliamini msada unatoka kwa mungu na kuomba wana maombi waje kumwombea ..
Walipofika kama...
Petrol bei juu!
"Umeme hali kadhalika"
Kodi za nyumba balaa,
Mchele na Nyama usiseme!
Makanisani sadaka juu wanataka noti sio sarafu!
Mahari nazo hatari, School fees utadhani unanunua shule...
A doctor, an engineer, and a politician were arguing as to which profession was older.
"Well," argued the doctor, "without a physician mankind could not have survived, so I am sure that mine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.