Mhaya mmoja aliingia baa na kukuta imejaa full isipokuwa kiti cha meza moja iliyokuwa na mteja mmoja. Jamaa akaikaribia na kumsalimia ''mywaji'' mwenzie na kumuomba kama anaweza kumjoin...
Jamaa kajitoma mskitini ghafla, huku majasho yanamtoka!
Mkononi kashika panga kali, Akauliza,"nani muislamu hapa," watu kimya. Karudia tena kimya "nani muislam hapa".
Ghafla kamnyakuwa jamaa...
Kijana wa kazi katika parokia fulani akiwa amepewa nyumba ya kuishi yeye na mkewe,kazi kubwa kusimamia mradi wa kuku wa kanisa. Akawa anaiba kila siku kuku. Watu wakamtonya padri. Akaweka mtege...
Ndo itakuwa signature yangu kuanzia sasa mpaka hapo nitakapopata nyingine.Nimekaa chini nikaiwaza sana, ukiiangalia kwa macho ya pikipiki hautaielewa lakini imebeba ujumbe mkubwa sana! Lovely...
Binti mmoja alichumbiwa na
mwanajeshi mmoja. Wote
wawili walikuwa
wanapendana sana. Siku
moja yule binti alitaka
kumpima mchumba wake aone anampenda kwa
kiwango gani. Binti
akamwandikia...
Mchawi mmoja alikuwa akiwatesa raia wa kijiji kimoja huko sumbawanga.Walijaribu kila jinsi kumuua lakini ilishindikana kwani alikwepa mitego yote.>>>>> Siku moja raia walimvizia akiwa shambani...
Padre mmoja alipoteza jogoo wake, akaona aulize kanisani baada ya ibada kama kuna muumin kamuona jogoo wake, basi padre akuliza jaman kuna mtu ana jogoo wanaume wote wakasimama, padre akasema...
kama wewe ni binadamu uliyekamilika basi huna budi kukubali majaliwa lakini basi kuna baadhi ya watu ndani ya ardhi ya hii nchi tz eti wanadiriki kujutia kwa nini wapo hapa leo je walitaka wawe...
basi kutoka pande za morogoro maeneo ya kihonda asikwambie m2 kuna mwana mmoja ni mbishi ile mbaya,sasa day moja c ndo akaamka mapema sana afu akawasha moto nini afanye mpango wa menyu sasa...
Teja mmoja alikuwa
anasinzia darasani kwenye
kipindi cha dini, Mwalimu
akamuuliza swali "ni nabii
gani alikuwa na uwezo wa
kuongea na wanyama?" Teja akajibu ni"NABII
TARZANI"
ALISIKIA AKILALAMIKA MGOMBEA WEPESI AU URAHISI
Jinga Kubwa: "sasa wewe mkaahapa unanisusia kwenye kampeni kula basi na mimi naacha linchi lichukuliwe na upinzani uone kama hatutaburuzwa...
Chicago Woman Fired for Doing Work at Lunch Wins Unemployment ClaimBy SUSANNA KIM | Good Morning America Mon, Jan 16, 2012 9:59 AM EST
Share247
Email
Print
RELATED CONTENT
Chicago...
Ndugu zangu natumai hamjambo.
Nimefarijika sana leo tarehe 19 januari 2012 kufanikiwa kujiunga nanyi wana jamii forums!
NINA IMANI TUTAFANYA KAZI PAMOJA KUWAHUDUMIA WATU WETU.Asanteni
naona kuna wageni wameingia jamvini hawajielewi. Kwanza wanaandika vifupi mpaka basi kama ni kiingereza andika YOU sio U na kama ni kiswahili andika kiswahili fasaha hatutaki kifupi wala mkorogo...
Kwanza sijui ni mwanamke au Mwanaume?ni moja wa member pasua kichwa sana!na topic zake za kidini humu ndani,nimechunguza kitu kimoja toka kwake ni moja wa medber ambao awapendwi hata kuonwa humu...
Mmasai alipewa kipaza sauti
kwenye msiba aseme japo
machache, akasimama akasema
Msiba oyee,
jenesa safiiiii
amependesa
hajapendesa?
Basi
mwenye wifu na yeye akufe kama hii mutu hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.