JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
ni pombe gan ya kienyeji ambayo unaikubali kwa kilev chake ambayo ungependa bajet yake ipitishwe ili iboreshwe kuacha hzi banana-ni nzuri inalewesha ila kuifungua ni nusu saa.ukifupisha...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Tujadili. kwa nini watu wengine hupenda kujifanya wajuaji na lile wanalojua ndio jibu la watu woote. watu wakimuona Golden mpoleee anajiachia au memba mwingine ajijiachia utasikia ooooh mwanaume...
0 Reactions
106 Replies
7K Views
Nipo kwenye foleni nyuma a watu km 68 hivi,foleni haiendi,mhudumu yupo mmoja tu,mawakala/vishoka wamejazana pia milangoni,wanatishia hata usalama wa wateja,pamoja na matangazo kila mahali ati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gumzo la leo limejadili kuwa swala la kurudishwa bungeni kwa sheria ya kujadili katiba mpya, ifanyiwe marekebisho. je kulikuwa na umuhimu gani wa raisi kuwa na haraka ya kusign mswada wa sheria...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa matokeo ya jana!kweli bunduki haiui majini.
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Huwezi kuondoka bila kunitafuta tena ...hizi ni baadhi ya mbinu zangu .... usijaribu kama wewe sio mtaalamu wa kuzitumia aisee
1 Reactions
224 Replies
11K Views
Wanajf, tangu mwaka huu uanze uwepo wa hawa watu wawili umekua mdogo sana hapa jamvini. Mwenye taarifa yoyote apate kunijuza hawa watu walipo nimewamiss kweli
0 Reactions
59 Replies
3K Views
Mambo vp?wakubwa na wadogo?Mimi ni kijana wa Miaka 21,mwezi wa tatu tarehe 2 ndo natimiza miaka 22,Jf nilijiunga bila kulazimishwa na mtu ni kwa mapenzi yangu mwenyewe ndo maana nimeweka info...
0 Reactions
106 Replies
6K Views
Golden Mpoleeee katokea kuwapenda. Golden Mpoleeee atafanyia kazi ushauri wenu. Golden Mpoleeee watu tu hawamuelewi. Golden Mpoleeee ni mpole mpaka achokozwe. Golden Mpoleee hataki kuwaudhi kabisa...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana jf habari zenu natumaini hamjambo .jamani tangu niingie jf nafurahia sana raha ya humu, hata facebook nilishaipiga chini, muda wote niko jf maana napata uptade za maisha ,furaha na mapenzi...
4 Reactions
55 Replies
4K Views
Jamani Kongosho kijiwe chetu cha ghahawa kimeishia wapi na je ule mpambano wetu mbona mshindi hakupatikana kulikoni jamani?
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Kila mtu mwizi! Leo nimeenda dukani kununua vi juice vidogo, eti naambiwa 1500, wakati ni 1000, halafu akaja manager naye akakandamiza
1 Reactions
6 Replies
975 Views
habri zenu wana JF naomben msaada juu ya hili nimekuwa addicted na FACEBOOK cjui jinsi ya kuacha ?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekuwa kwenye kifungo cha mda wa mwezi mzima hapa JF baada ya kupigwa Bann la mwezi mmoja tangia Dec 19, 2011 – Jan 19, 2012. Kama kawaida yangu sijakaa kubweteka bali nimekuwa...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Leo ni mkesha wa mwaka mpya wa Watu wa China.. Wachina sehemu mbalimbali duniani wamekuwa wakirudi kwao kusheherekea tukio hilo kubwa sana kwao. Sasa nauliza kwa wale mlio nao hapo Mitaa ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna tabia ya mawifi yani dada wa bwanaharusi na mama yao/ mama mkwe kupenda kuingilia maisha ya ndoa ya kaka yao/ mwanae mara wamsakame wifi kuwa mbaya, mchoyo nk. Ndo mana ndoa nyingi zinayumba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kitendawili.....Tega....Nivue nguo nikupe utamu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Student mmoja akuta matokeo ya necta 4m 4 yamebandikwa ubaoni skonga kwao student:du! page ya 4 hii coni jina langu student2:mmh! Au wame epairizi jina langu student:ahaa kumbe kweli haya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kunajamaa mmoja alikuwa amekosana na mke wake kias kwamba wakawa hawaongei. mawasiliano ilikuwa ni kwa njia ya kuandikiana ujumbe kwenye vikaratasi.baba akiondoka hasubuhi,anamuandikia mkewe, pesa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mtoto akisali mbele ya wazazi mda wa kulala; Ee Mungu nashukuru kwa kunipa wazazi wakarimu, mbariki huyu kijana anayekujaga kucheza mieleka na dada kitandani na kumlisha sausage iliyo ndani ya...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom