http://41.59.13.185:88/broadwave.asx?src=1&rate=0
tumia link hii (hapo juu) kusikiliza maubiri ya mwalimu Christopher Mwakasege live, kila siku kuanzia saa 4:30 jioni hadi saa moja usiku...
Kwa kweli dada alikuwa anachangamsha sana hili jukwaa. Anajua kufrustrate, kutibua akili za watu. Yaani ni pasua kichwa. Tangu alipoondoka jukwaa hili limepoa na huenda likafa kama kilivyokufa...
Mambo vipi Wanajamii Forum???Naomba musome hapa kwa makini kisha tujadili katika hili.Juzi nilikuwa nasoma ripoti ya UNDP ya mwaka 2011 kuhusu hali ya maendeleo katika nchi 187 wanachama wa...
......kama tukitenda dhambi tungekuwa tunapata adhabu hapo hapo, kwa mfano ile unamaliza kuwaza uovu wako tu, unastukia unanyukwa makofi, makonzi na mitama mfululizo huku akupigae humuoni...
Najua umenisahau. Naitwa Andekelile Lupakisyo Ambindwile Mwambalakata mtoto wa Afwelile Ambwene Mwakisujeje Mwakasokela anko yake na Asangalwisye Mwalunyasyo rafiki wa Bakangana Bukenja Bukomile...
kulitoke tangazo moja Ukiwa na watoto kumi utapata zawadi ya nyumba na gari
MKE: sasa mumewangu sisi tuna watoto nane itakuwaje
MUME: mkewangu nisamehe nna watoto wawili nje ya ndoa ngoja...
Jamaa mmoja alipandishwa cheo...baada tu ya kupandishwa cheo akampa taarifa mke wake,na kwa kuwa mke wake alikuwa na wivu na mume wake akaanza chokochoko;
Mume: Mke wangu nimepandishwa cheo,hivyo...
Mapenzi yanautesa moyo wangu. Niliwahi kupenda msichana bali alinitenda kwa kutembea na kk yangu wa damu moja. Nikaachana nae nikapata mwengine nae akatembea na rafiki yangu kipenzi. Jamani nina...
Mtoto kaona nyeti ya baba yake, Akauliza "nini hii"? Baba,akajibu "ni Heshima", kesho yake wakaja wageni, baba akamwambia mtoto, "toa heshima kwa wageni", mtoto akatoa Nyeti yake, akaonesha...
Inasikitisha sana.
Uwalimu sasa si kazi mzuri kutokana na jinsi serikali yetu ilivyo wapuuzia.
Kwamacho yangu nimemshuhudia mwalimu wangu wa primary amekuwa ombaomba yeye na watoto wake.
Tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.