Hii ni Post yangu ya 499.
Nimeshamaliza kuuza Binzali yangu sasa kale kafaida ningependa nishirikiane na yeyote katika kukala.
Jaribu kuandika kitu kitakachoniudhi au kunifurahisha na kufanya Post...
HouseGirl alipika mchicha ila haukuiva,mama aliporudi wakati anakula akagundua mchicha mbichi,akamwambia housegirl kuwa mchicha haujaiva ila yeye(HouseGirl) akabisha, mama kwa hasira akasema...
A salesman was attending an interview for a new job.
"so how old are you,sir?" asked the manager
"forty" replied the salesman.
"how long did you work at previous company?"
"fifty years" he...
mwalimu ni mwana kinoma yani hadi raha mpaka chichogoni.......walimi kama hawa mm nawamind kinoma yani mana hachapi waala nn na akikuita utasiki oyoooooo jibu swali kama vipi usinizingue
KATIKA MAONGEZI YA KUULIZANA MAANA YA MANENO KATI YA MWANAFUNZI NA TEACHER,-------TEACHER,NIAMBIE MAANA YA NENO CHAMELION KWA KISWAHILI,--------MWANAFUNZI-----,,,,,,Mhhhhh ni KALAKI,-----.
Imeelezwa Bungeni kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanafanya adabrakadabra, yaani wimbo wa mazingaombwe (kiini macho) kwa wananchi ili waamini wanayosema wakati si kweli. Wabunge...
Salaam wana Jf.
Kuanzia asubuhi kila nikijaribu kufungua jukwaa la siasa napata tabu sana. Yaani moyo unakuwa mzito sana. Kichwa hakipo tayari mimi niyasome ya jukwaa la siasa.
Nimeamua...
kwa mabreaking news ndio usiseme, kwa vituko napo looh,kwa maoni ndio nyumbani kwake, kwa elimu napo heeeh, kwa kufurahisha ndio mahali pake, ya kuudhi pia yamo!!!
Wana Cuf nikiwapo mimi 2likuwa waaminifu sana kwa chama na viongozi wetu toka mwanzo wa mfumo wa vyama vingi tz!walionesha kuwa wazalendo sn,2kawaunga mkono kwny maandamano mblx2 na kpigw...
Ukifika UHOLANZI utawakuta akina...
Van parse
Van Der vart
Van nestroy
Van Mangi...
BRAZIL(dinyo)
mangidinyo
ronaldino
(da)
-da silva
de fereira
Pereira
JAMAICA
Huku kuna akina "Sean"
TANZANIA...
Hii story inachekesha flan hivi!Ndo maana nimekosa "heading".Unaweza kuwa umeshakutana nayo!Huyu mwizi aliia kwenye nyumba kwa lengo la kuiba,alipokua kwenye korido akielekea chumbani akasikia...
Mwanaume anayepata muda wa kuongea vizuri, kwa siku huongea maneno 2000, wakati mwanamke huongea maneno 7000. Hivyo ukikutana na mwanamke mbeya, anayechonga sana au mcharuko, usimlaumu au kumwita...
Askari polisi wawili cpl James na Bahati wa kituo cha Stakishari walikutana na jamaa mmoja amebeba jeneza, wakajua hii ni deal huyu jamaa anapeleka wapi jeneza hili kukuu itakua ameiba hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.