JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
kuna watu hapa jf wanamajina makubwa kwa umaarufu wao hapa jf hasa ktk michamgo yao.mimi hawa watu ningependa kuwaita masuper star wa jf! Kwangu mm wapo wengi kama The boss, klorokwin, nyani...
6 Reactions
553 Replies
28K Views
Rais Barack Obama apigwa denda na marais wa Uchina na Venezuela katika picha za kampeni inayoitwa Unhate,ila picha ya Papa akiliwa denda na Mmisri imeondolewa baada ya songombingo. Nafikiri...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Chit-Chat ina wenyewe? Ni swali tu.
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Mwanaume wa shoka kabisa uko zako mtaaani au sehemu yoyote ile anajitokeza jamaa,bila kujali kama wewe ni mdau au la kukutongoza (kama ilivyo kwa m/ke vs m/me) akaku-cameroon.Dah nadhani ngumi...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nilikula tano kwenye kiti, sasa ndo nashusha neti najua hamwishi kuchiti humu. Pamoja na yote kumbuka kusali na kumwomba Mungu adumishe amani Tanzania miaka 50 ijayo kwa watakobahatika kuiona...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mahoteli hupeperusha bendera za mataifa mbalimbali. Je bendera hizi zinamaanisha nini?
0 Reactions
27 Replies
5K Views
LAST Week was my birthday… My wife didn’t wish me My parents forgot and so did my kids I went to work……… Even my colleague did not wish me As I entered my cabin my secretary said “Happy Birthday...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika mazoezi ya mgambo kutafuta wanajeshi.uliwadia muda wakulenga shabaa,kamanda wa kikosi akasikia mmoja wa mgambo wake anamwaga risasi kama rambo,akamfuata akaangalia wapi alipopiga,akakuta...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Msukuma mmoja aliyekuwa mcha mungu alioa kwa mbwembwe huko kijijini kwao wilaya ya Bariadi. Baada ya miezi mitatu mkewe akamfuata mama mkwe akilalamika kuwa tokea aolewe hajawahi kupata unyumba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
FUNDI WA KWANZA;ninaweza kushona suti nzuri na ikamtosha nikimuona anapita kwa mbali... FUNDI WA PILI;hiyo si kitu kwangu,mi naweza kushona suti bora kabisa nikimwona mtu anakatiza kwenye kona na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mmarekani, Mhaya na Mjapani walikutana ndani Sauna kwenye Hotel ya Hilton Manhattam Jijini New York. Wote wakiwa uchi wakifurahia unyunyuunyunyu wa kwenye Sauna. Ghafla Mmarekana akafanya kama...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Joe had asked Bob to help him out with the deck after work, so Bob just went straight over to Joe's place. When they got to the door, Joe went straight to his wife, gave her a hug...
2 Reactions
4 Replies
8K Views
kuna bibi kizee mmoja alikua anakatiza kitaa ile anakula kona tu anakutana na bandidu ka 2 zimechili kiaina na 2 ivi zikawa zinamdeku bibi tu anavojongea ile anawakaribia tu wakamvutia ktk jumba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Za watu ambao sio maarufu? Swali hilo kauliza Arnold kayanda wa Clouds FM(Mtangazaji wa Jahazi na Kibonde),wewe ungemjibu vp?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
What is the most luxurious bus from Dar to Mwanza. I wanna travel from dar to mwanza tomorrow. Please advice.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Hiki ni kisa cha kweli!! Askari barabarani alimaarufu kama trafiki wa kituo cha kange tanga,amekufa ktk mazingira ya kutatanisha baada ya kuomba rushwa na alipoletewa alikataa! Kisa kilianza...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
eti ukitaka kumuuliza baba yako mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kwa kiingereza utamuulizaje??
0 Reactions
13 Replies
2K Views
(BOY);Hi girl!, (GIRL);What? (BOY);How are you? (GIRL);do i know you? (BOY);I'm Rich!. (GIRL);hi i'm so happy to meet you. (BOY);no no,Rich is my name. (GIRL);Sorry i don't...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Ukienda bar nyingi za dar hukosi kuta pakas wengi sana especially zile bar za kichovu zinazouza bia below 1800! But bar za kishua or zinazouza bia above 2000 mara chache sana utakutana na paka! Je...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom