JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hatanikiwa bored au tired huwa najongea kwenye jukwaa hili basi huwa nakauka kwa vicheko! 'mate na machoz' humwagika! Huwa najizuia kutapika ulimi na kuha*.sha utumbo...!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Does anyone know the revenues of Tanzanian football clubs like Simba SC? StadiumZone - Home has all sports clubs with a revenue above 20 million euros, but the only African clubs in the list are...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Eti aliyeitia nchi katika mkenge huu wa deni la B94 kwa Dowans ni watanzania wenzetu, wapo wale ambao walisaidia kuisajili kampuni hewa Dowans na wengine kuvaa gwanda la uzalendo ili kuisaidia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana Jf Nipo kijijini kwenye msiba, kuna tabia zinakera sana. Kila unayekutana nae anataka umpe hela. Nimetoka jioni kwenda kupooza koo, imekuwa kero. Jamani inakuaje kijijini.. Ni huku kwetu...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Wananchi wa kitongoji cha Maramba kata ya Luilo walisema kuwa wanampongeza mbunge Filikunjombe kwa msaada wake wa nyavu ya kutegea nyani( Lipilipili) ambayo imewawezesha kutega nyani zaidi ya 80...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mama wa kinyakyusa alibahatika kufanya mapenzi usiku kucha na kijana toka pwani ambaye alifikia mjini mbeya kama dereva wa lori,kumbe mama yule alikuwa hajawahi kukutana na mwanaume aliyetahiriwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Waungwana naomba mnisaidie hawa jamaa ni matapeli ama vipi maana nimetumiwa hii e-mail hapa chini baada kuwa invited dada mmoja anayejiita miss rita benjamin na mimi kukubali invitation yake...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ENGLISH IS REALLY CRAZY There is no egg in eggplant nor ham in humberger;neither apple nor pine in pineapple.English muffins were not invented in England or french fries in France.Sweetmeats are...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
CCM chini ya Chiligati: kilishuka kutoka 80% mwaka 2005 hadi 61% mwaka 2010 ambayo ni pungufu 19% CCM chini ya Nape(kwa sample data za Igunga): kimeshuka kutoka 35 000 mwaka 2010 hadi 26 000...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ni jioni,umemmiss umpendae,unaamua kwenda sehemu kupata soft drink ili upoteze mawazo na mda.unafungua kinywaji chako ndani ya kizibo unakutana na neno VUTA HISIA ZAKO!.yaani unalazimishwa kuvuta...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nimekuwa mfatiliaji wa siasa za
0 Reactions
0 Replies
955 Views
[MGANGA WA KIENYEJI];Kwa dalili unazoonesha,nahisi una malaria hivyo nakushauri ukanywe fansidar. [MGONJWA];Kwenda zako huko,we tapeli nini,mganga wa kienyeji na Fansidar wapi na wapi?,we niambie...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The Following user says Thank you mods for the useful job Vivian(Today)
0 Reactions
5 Replies
983 Views
Eti ni kweli wachagga wanapenda sana Escudo na kujenga Mbezi kimara? Na ni kwanini? Au kwavile Escudo haili mafuta, Na Mbezi kimara iko Karibu na Moshi? ha ha ha ha ha ha ha haaa- Hii inafaa...
5 Reactions
95 Replies
9K Views
Kijijini nimekuta mtoto anaitwa Chike, nikauliza maana yake nini? Nikaambiwa eti ni Chicken' chips. Nikachoka, nikauliza sababu ya kumpa mtoto jina hilo nikaambiwa eti mama mtoto alikuwa hataki...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Watu wengi wakienda kwao Rombo, same, Mwanga hata Hai utawasikia wanasema tunaenda MOSHI. Mbona hizo ni Wilaya tofauti na Moshi? Jamani nisaidieni kwa hili. Nawasilisha
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kwako Invisible! Usiku wa kuamkia leo niliamshwa na haja ndogo, na kama kawaida nilikimbilia chooni. Wakati narudi kitandani niligugundua kuwa sina magamba yangu. Looh! Nilistaajabu sana, lakini...
6 Reactions
149 Replies
10K Views
Kunakamchezo nacheza hapa kanafurahisha kweli, hebu jalibu na wewe, weka cim yako vibration kisha iweke kwenye maji uone cim inavyo ogelea!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani eti ni kweli tunaangaika na kupoteza mkwanja kibao kununua nguo,mavazi mengi wakati muda mwing yani most of timei huwa mtu unaenjoy while hujavaa nguo?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom