Tukio hili limetokea leo ..ilikua ni majira ya saa sita nimetoka kwetu mkuranga .nimekuja kumsalimia mtoto wa dada yangu hapa masaki.
Ajabu nilipo fika tu katoto kake ka miaka saba kalinijia mbio...
Jamani kilimanjaro ni tamu ni wakati sasa wa serikali kufikiria kuiweka kwenye nembo ya taifaa naandika haya nikiwa upande flani huku kaskazini
Niambieni huko kwenu B gani inakonga nyoyo chap...
1. Kulia muda mrefu sana baada ya kupigwa
2. Kutolia baada ya kupigwa
3. Kulia bila kupigwa
4. Kusimama mahali ambapo wazee wameketi
5. Kuketi wakati wazee wamesimama
6. Kutembea ovyo mahali...
Tumetoka mbali sana. Nakumbuka hapo kale tulikuwa tunasoma na vibatari na taa za chemli. Yaani unaweza kugombezwa umesoma ukamaliza mafuta ya taa. Nakumbuka tulikuwa tukipasi nguo na mkaa wa...
Habari za jioni wakuu hongereni kwa kazi poleni kwa uchovu niende moja kwa moja kwenye point yangu ilionileta hapa..
Bila kupoteza muda kutokana na ku-participate kwa kila mmoja wetu humu jamvini...
Wadau kama nitakuwa nimewagusa sehemu mbaya mnisamehe tu ... Tunapofanya sensa mwaka huu naomba tusiishie tu kuhesabu watu.
Tuendelee mbele kidogo. Tuhesabu watu wenye utimamu wa akili. Unaweza...
Yani kanipikia chakula kitamu hivi kinoma ili kunionyeshea tu, anamakusudi sana huyu dada na anajua kabisa niko single.
Yaani na kanipakulia kiasi sawa na njaa yangu kabisa nikamaliza nimeshiba...
Wakuu
Kumekucha sasa ninyi ndio wa kuamua tujadili kipi kwa muda huu kabla ya kifungua kinywa.
Mkisema tuwajadili CCM au tuwajadili CHADEMA au tuguse kidogo chama cha Hashimu Rungwe ni sawa tu...
Kwa kutambua hili nadhani ni heri wanaume wenzangu tuwe tu makini kwa kweli na hawa wanawake zetu.
Sasa sina cha kushauri ila maamuzi yabaki binafsi kwa kila mtu.
Uzi huu ni kwa udhamini wa...
Habari za mda huu wakuu,
Kama mada inavojieleza,nimejikuta tu niko kwenye fukwe za coco beach nikitafakari weekend inavoishaisha.
Wakuu hapa nilipo nashangashangaa (ke) zinazopita hakika kuna...
Leo ni July 15, Ni kumbukukizi ya siku ya kuzaliwa kwangu.
Naomba Nichukue sekunde zako chache Tuwatakie wote waliozaliwa terehe kama ya leo kheri na fanaka tele katika maisha yao!
Kama kawaida ya mabinti wa nchi yetu. Pale unapotaka kumchakata binti yule kwa mara ya kwanza, huwa kuna kaugumu anakuwa nako.
Huwezi kwenda direct umwambie eti "njoo kwangu nikuchakate mbususu"...