Birthdays are there for fun and a
chance to celebrate with loved ones
But as time and years goes by and you
become mature.... it is a perfect chance apart
from New Years Eve to remind you...
Jamaa mmoja akiwa katika basi,alikaa karibu na dada mmoja mrembo balaa.Wakiwa njiani,jamaa alijaribu kumtongoza yule binti bila mafanikio.Mara ghafla lile basi likatekwa na majambazi.Majambazi...
English signs in different places
Cocktail lounge , Norway :
LADIES ARE REQUESTED NOT TO HAVE CHILDREN IN THE BAR.
Doctors office, Rome :
SPECIALIST IN WOMEN AND OTHER DISEASES.
Dry cleaners...
Jamaa mmoja alioa mke mara siku moja mkewe akamwambia kuwa bomba lao la maji limepasuaka,jamaa akamjibu 'umeona me fundi bomba?',mkewe akawa mpole,haikupita wiki 1 mkewe akamwambia kuwa ukuta wa...
Nionapo avatar za watu fulani humu mhhhh... sijui hata niseme nini!
Avatar ya MJ1 - inanivutia sana
Boss - usiseme! mtajaza wenyewe
BAK - Inafurahisha
King'asti - inanikwaza kimawazo!
MMKJJ -...
A little boy said: Mum do you know that our house girl is an angel?
Mum: Why do you say that junior?
Lil Boy: Because I saw her naked with her hands on the wall shouting oh God I'm coming..... I'm...
An inspirational speaker said:Best years of my life were spent in the arms of a woman, who wasnt my wife.
Audience was in shock and silence.
He added:She was my mother
A big round of...
kampuni ya ugavi wa umeme tanzania TANESCO,wametangaza rasmi kununua mitambo maalum ya kukatia umeme,kwani mgao haukatiki sehemu zingine kama jeshini,hospitalini na idara nyeti za serikali,mitambo...
HILI NALO NENO
NI MTAZAMO TU USIJENGE CHUKI NA MIMI - Hivi kwanini baada ya kushinda Gym kutengeneza huo mwili wako kwa ajiri ya kuwatamanisha wanawake kwanini usitumie huo muda kutafuta maisha...
Mteja anakuja ofisini kwako, nawe unamkaribisha vizuri sana, una concentrate kumsikiliza shida yake mara ghafla simu yake inaita kwa sauti ya juu, anapokea tena bila kuomba msamaha, anaongea kwa...
weekend ndo hiyo jamani!.
karibuni kijiwe cha WHY NOT if NOT na unaweza kumalizia siku yako kijiwe cha WHO TOLD YOU kama unataka kuwa uelekeo wa tegeta!! ukapate chochote upendacho.
Foleni...
Mfadhili wa Chaguzi za Chama amebwaga manyanga
Kilichobaki ni kumkamua kila Mtanzania 50bil, za 2015 zipatikane.
Kaeni mkao wa Kuchangia Chama haijalishi kama wewe ni CDM, CCM au CUF lakini...
Mother asks little Johnny, as they wait for the bus, to tell the driver he is 4 years old when asked because he will ride for free. As they get into the bus the driver asks Johnny how old he is...
Mlevi wa kupindukia anafanya mapenzi na mkewe akamwambia,inakuwaje leo maziwa yamekuwa makubwa na chuchu hazionekani?
MKE: Wewe acha upumbavu unaramba makario!!!!!
Kuna jamaa mmoja aliota amekufa, alipofika mbinguni akaambiwa kama anataka kurudi duniani achague mambo mawili. Arudi akiwa KUKU au PANYA.
Jamaa akachagua awe kuku. Akaambiwa kama awe kuku basi...
Haya tena! Ya kweli haya?
Kama nimeulizwa mtihani nitaje wapi hapo, nitajibu hii tarime tuu kwa sababu zifuatazo:
Huko ngumi ni sehemu muhimu ya maisha.
Hawaoni haya
Huwa ni warefu...
Wandungu,
Nimekumbuka sana enzi zile kijijini. Mpira munasikiliza kwenye Radio Tanzania tuu! Na vipinde vingine.. Majira, asubuhi njema, misakato, mchana mwema, club rahaleo show, jioni njema...
Nilitembelea kituo cha watu wenye upungufu wa akili (mimi nikiwa mmoja wao, hahaha).
Nikamwuliza mdhamini wa kituo:
"Hivi mnaamuaje kuwa mtu anastahiki kulazwa hapa?"
"Tunachofanya n hivi...
serikali inatarajia kupeleka mswada wa sheria ya maandamano itakayo tamka kuwa maandamano yoyote yatakayofanyika ni lazima waandamane kwa zaidi ya 120km chini ya hapo waandamanaji watakabiliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.