Nimetumiwa hii joke na rafiki. Inawezekana umekwishaisoma, lakini haina madhara kuirudia. Inatukumbusha kuwa Tanzania na watu wake chini ya uongozi uliopo ni nchi ya namna gani. Soma zaidi...
It...
A lesson on how consultants can make a difference in an organization.
Last week, we took some friends to a new Indian restaurant, 'Muthu's Place,' and
noticed that the Indian waiter who took our...
Katika kinachoonesha uzanzibara na uzanzibara badio unautafuna mbunge mmoja wa zanzibar alifurahisha watu pale aliposema ndugu zanguni hili sio jeshi la tanzania hili ni jeshi la tanzania bara...
Wachunguzi wa gonjwa sugu la malaria kutoka ifakara health centre wakiongozwa na doctor okumu,wamegundua kuwa soksi chafu zinazonuka uvundo zafaa katika mapambano dhidi ya malaria.Ule uvundo wa...
hawa manesi wauguzi, wakunga wetu humu mahospitalini.... wanatatiza
mfano.. ishu ya mtoto mchanga baada ya kuzaliwa ile omniotic fluid ikipata hewa inaganda hasa kichwani (utosini) wao humtuhumu...
Jana R A katangaza rasim kuachia nyazifa zote ndani ya ccm na kubakiza uwanachama wa ccm nawaomba wa nannchi wenzangu tujiulize? kwanini? Anajiuzuru kumetokea nini? cdm wameibuwa uozo mwingi juu...
Katika darasa ya saikolojia mada ikiwa afya ya akili, mada ikiwa manic-depression hali ya mtu kufurahi na kuhuzunika kupita kiasi), mwalimu aliuliza:
"Taja aina gani anayetembea mbele na kurudi...
A son in a bording skul wrote to his dad: condition critical at skul, send money o else suicide.
Dad replied: situation at home very terrible, suicide approved.
Sioni mantiki ya kusomwa bajeti za wizara zote bungeni? kwani hakuna bajeti inayoweza kuzuiliwa hata kama haikubaliki.
Kwanza, kwa kuwa wabunge wa chama tawala hawapingi chochote kinacholetwa...
wanajamvi wote! salaam sana.
CDM ni kimeshaonyesha kuwa ni Chama Mbadala na makini. Ukweli unabaki pale pale. Kinatawala nchi hii kwa mlango wa Nyuma. Vichwa kama Slaa, Mbowe Zitto na wengine...
YALE yanayooneshwa katika TBC yamefanikiwa kukifanya kipindi laivu cha bunge kuwa 'soap-opera' bora nchini. Hivi sasa, hasa, kukiwa na hoja moto inayompa spika ujeuri na jazba na hali kadhalika...
Mwenzenu nimejaribu kufikiri kwa undani juu ya matamshi ya ndg samwel 6, nimekubaliana na ule msemo wa kiswahili unaosema 'Ukiona manyoya, ujue ameliwa'. Sasa nimeona manyoya na ku conclude kuwa...
Kama lipo lipo,kama halipo laja,ukiona watu wanakutupia jicho jiulize kwanini?labda hukuvaa inavyostaqhili,uko uchi,au umechanganyikiwa au una kasoro fulani.lakini pia ukiona wanatoa...
Baada ya Rostam kuachia ngazi sasa ni zamu ya mapacha wengine nao kufuata nyayo zake, baada ya hapo mama na baba yao nao wafuate, baada ya hapo wadogo zao na wajomba zao pia wafuate pia.
Kama...
Dereva mmoja ambaye ni mtu wa makamo alikuwa kapaki taxi yake kwenye eneo la maegesho,
akaja mtu mmoja aliyehitaji huduma ya usafiri. Baada ya makubaliano walianza safari yao, baada ya
safari ya...
This is an actual real event that took place and this is some ones USHUHUDA LOL!
It's just another scam..... here's one that happened to me, that you men should be sure to watch out for.
Over...
Kuna Singasinga mmoja alikuwa anajamba ovyo usiku kucha, kwa kila aina ya sauti. Mkewe akamuuliza 'una nini leo?' Akajibu 'natafuta ringtone ya ****** yangu'
Tumesikia kwa watoto wake na hata vijukuu vyao, hilo limerudi Dar. Majuzi tu tulisikia oh hakuwa anaumwa oh alikuwa kaenda kutibiwa na hakuwa hospitalini. Alielipia hizo bills huko nje ya nchi ni...
WanaJF huyu mtu naomba contact zake tuuuuu.....najua yuko hapa kila wakati.....ana mdomu umejaa strawberry sijui, sijui nini yaani full utamu...BelindaJacob mama kama unanisikia kilio changu.....
Siku moja Padre mmoja na sister walikuwa safarini, usiku uliwakuta katika mji mmoja wa kigeni hivyo wakalazimika kutafuta mahali pa kujihifadhi ili kutakapokucha waendelee na safari yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.