Old Bwi (nick name) is at the bar and hes in one of his drink until everything is at forgotten stages.
The barmaid [a good friend] continually tells him hes had enough and should go home...
Jamani kuna kaka anakaribia miaka 45 anaishi kwao, anadai eti anataka kunioa. Nkamuuliza tutaenda kuishi wapi, ananiambia eti hapohapo kwao. Ameni upset ile mbaya.
Katika Gazeti Pendwa la Ijumaa toleo namba 679 lilinasa picha za mwanama mmoja ambaye jina lake lilidaiwa kuwa ni Tuma ambaye inasemekana kuwa ni mtoto wa kigogo akiwa amepiga picha chafu na...
wadau wa jf, kumekuwa na aina mbalimbali za magari kwa mfano, used na brand new, automatic na manual, ya mjapani, mchina, mfaransa, mmarekani, mjerumani na yale ya kibongo (nyumbu), na kwa...
Kuna huu wimbo nikisikia redioni kwamba jamaa anaogopa kurudi nyumbani mapema kuepuka kelele za mkewe (VUVUZELA). Hivi kuna watu kweli wamefikia hatua hiyo inayopelekea mwenza ajicheleweshe...
Nlikua ndani ya daladala, tulipofika kwenye kituo fulani mateja wakazinguana na konda na kuanza kutukana tena matus ya nguoni....mama m1 karibu yangu akaanza kulalamika na kusema jamani sasa...
Naiombea chupi ya mume wangu, naitakasa kwa damu yako anapotoka nyumbani katika nyumba hii, ivaliwe hapa na ivuliwe hapahapa tu, kama ataivua sehemu nyingine tofauti na nyumbani baba basi iwe ni...
Dada mmoja kutoka sehemu fulani alitembea na mchina mmoja ili apate mtoto wa kichina. Akapata mimba akajifungua mtoto wa kiume na bahati mbaya mtoto huyo akafariki. Kwenye mazishi ya mtoto...
Mi nashangaa serikali hii,eti kampeni kamata kamata vijana wala unga!kwani nani asiyekula unga nchi hii?rais anakula unga,mawasiri wanakula unga,wambunge wanakula unga,matajiri kwa masikini wote...
Machine Diagnosis
One day, Pete complained to his friend, "My elbow really hurts. I guess I should see a doctor."
His friend said, "Don't do that. There's a computer at the drug store that can...
A little boy came down for breakfast one morning and asked his grandma, "Where's Mom and dad? " She replied, "they're up in bed " So the little boy started to giggle and ate his breakfast and...
Babu mmoja alikuwa akivuka barabara,ghafla akagongwa na baiskeli akazimia,wasamalia wema wakamweka kando ya barabara,mpita njia akasema "mnunulieni maziwa "Gafla yule babu akasema na bagia za...
On the recollection of so many and great favors and blessings, I now, with a high sense of gratitude, presume to offer up my sincere thanks to the Almighty, the Creator and Preserver. Thank You...
Nikiwa maeneo ya kimara_resort jana usiku nilijikuta nashuhudia vurumai moja matata.Mwanamke mmoja anayesadikika kula na shemeji yake alafu pia kukimbiwa na mumewe na kukimbilia Marekani alizua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.