JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakati wa utoto mimi na wenzangu tulipenda sana kucheza mchezo wa kifamilia (ubaba, umama na utoto). Katika mchezo huo tulipendelea kujipa uhusika kwa kufuata jinsia zetu za kweli na kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
:help:ANGEL MEKEL ANAMWAMBIA MOHAMMOD ABBASI TENA FINGA MDOMO TULIKUSAIDIA SANA KUWAPUNGUZA HAWA WAISRAEL UNAFIKIRI KAMA HATUKUWACHOMA KWA GAS MILLIONI SITA LEO SIWANGEKUWA WENGI SANA HATA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bibi na babu walimkuta mjukuu wao yupo nje ya nyumba yao analia. "Unalilia nini mume wangu?" aliuliza bibi kiutani kwa mjukuu wake. "Mama amenipiga, ananionea bure", dogo alijibu huku kilio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa alikaa masaa 4 akitazama cheti chake cha ndoa, mkewe akamuliza mume wng vp leo umekumbuka cku ye2 ya ndoa? Mume akamjibu 'NATAFUTA EXPIRE DATE' siiyoni!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Maisha ya hapa jamvini yamefanana sana na yale maisha ya kwenye jumba la big brother. Kuna Mods wanao tu monitor na hatuna uwezo wa kuwaona, Mods ni kama Big Brother mwenyewe anaye wajua na kuona...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wana Jamvi nilipokuwa napata dinner jioni hii, ghafla Umeme ukakatika. nikakumbuka miaka 11 iliyopita. ilikuwa jioni moja tumekaa mkekani tunajiandaa kula ilikuwa ni ugali na samaki na mchicha...
3 Reactions
74 Replies
6K Views
Wana JF kuna member siku za nyuma alishawahi kuleta thread inayohusu kipindi cha Skonga kinachoonyeshwa EATV (Channel 5) ni kipindi kinachofurahisha, elimisha na kuchangamsha sana naweza...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kama kuna mtu anaweza kunipa pin za hawa watanzania naziomba ninamazungumzo nao nadhani kwa BBM itakuwa ni vizuri zaidi kwa sababu za kiintelijensia. Asanteni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pd holder ---nil Masters------ 03 Degree-------12 Form vi------79 form iv --------175 Std vi ---------18,006 non................46,899 Nipe tadhimini wakuu wa kazi !kwenu je vp hali ya shule ?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mpelelezi, Polisi na FFU walikuwa wanajisifu mbele ya Rais kila mmoja alijidai yeye ndiye mwenye uwezo wa kumkamata mwalifu kirahisi... basi Rais akasema atawapa mtihani...siku moja akawaita wote...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Basi wakati mmoja panya katika pitapita zake mwituni alimkanyaga nyoka kwa bahati mbaya.Ikabidi panya aombe msamaha na kumwambia nyoka pole.nyoka akamjibu pole ya nini? Hebu kione.kitoto kidogo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Siku moja NYANI na MJUSI walikuwa juu ya mti wanavuta banghi.Mara MJUSI akajisikia kiu,akaamua kwenda kunywa maji kwenye mto wa karibu.Alipofika huko mtoni,MJUSI aliuawa na MAMBA.Yule MAMBA...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
A lady boards a bus carrying her baby, she sits next to a man and then starts to breastfeed the baby. The baby refuses to suckle, she yells at the baby " ebu nyonya ama nimpatie huyu uncle ako...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ivi wallet in ya nini hasa zaidi ya kuringishie kuwa una bunda la hela? Wakuu kama kukosa wanawake bora nikose,,kitu wallet sikipendi katika maisha yangu. Mbona laki hata 2 zinakaa kwenye mfuko...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
An eighteen-year-old girl tells her Mom that she has missed her period for two months. Very worried, the mother goes to the drugstore and buys a pregnancy kit. The test result shows that the girl...
0 Reactions
2 Replies
959 Views
Muumini kaenda kwa padri kuungama dhambi zake, Padri: Umefanya kosa gani mpaka umekuja hap kuungama Kondoo: Nimekua nikichat meseji za matusi na wake za watu Padri : Sauti ya chini kabisa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
If the temperature this morning is 0 degree centigrade and the weather channel says,"it will be twice as hot tomorrow",what will the temperature be?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sorry 1st, its just a joke.... Sister alikaa uchi padri akamuuliza hiyo ni nini? Sis akajibu ni kaburi. Padri nae kwa makusudi akajikalisha uchi, sister akauliza hy nini, padri akajibu ni maiti...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ofisini tumepata kijana, kaja kuanza kazi. Kwa kuogopa ukali wa foleni nikamwambia twende tukazuge sehemu kisha baadae tutaondoka. Tukaenda kwenye bar iliyopo jirani na ofisi, mziki ulikuwa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kama kweli wewe elimu yako sio ya kuuunga unga, ebu nisaidie swali hili. Badili sentensi ifuatayo kwa kiingereza, BABA mimi mtoto wako wa ngapi??
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Back
Top Bottom