JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sijui kama ni wote tulikuwa na babu wenye vituko hivi..ila mi babu yangu alikuwa amewazidi wote.. Mzee Nyela aliitwa... siku moja kasafiri kaenda Mombasa. kurudi akaja na chumvi ile ya mabonge...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Mla mirungi mmoja baada ya kumaliza na handas kupanda alikwenda hoteli akaagiza supu, mhudumu akamletea yakawa hivi Mla mirungi: Mhudumu samahani njoo. Mhudumu: Ndio mzee. Mla mirungi: Hebu onja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Little Johnny asks his mother how old she is. Her reply is, "Gentlemen don't ask ladies that question." Johnny then asks his mother how much she weighs. Again the mother's reply is, "Gentlemen...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mjinga mmoja alimwambia rafiki "unaonaje nikachukua likizo mwezi mmoja na wewe mwezi mmoja tukasafiri likizo miezi miwili?
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Mvuta bangi mmoja aliingia ofisi akauliza meneja yuko wapi? Akajibiwa general manager? Akasema hapana Luteni meneja washkaji.
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Habari jamani JF! What does this say? a- a bird in the bush. b- a bird in the tree. c- a bird in my bush. d- a bird in the the bush. e- a bush in the tree. Haya wajuzi wa hii lugha....
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Katika kutaka kujua maendeleo ya afya za wagonjwa wa akili (vichaa) katika hospitali fulani daktali huangalia mienendo ya wagonjwa wale tu: yule anayeenenda vizuri huamini kwamba ana nafuu kubwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna bwana mmoja alikuwa hana ajira kwa muda mrefu licha ya kuwa alikuwa na elimu ya chuo kikuu. Ili maisha yaendelee ilibidi ajishikize kwenye ajira ya udereva wa taxi. Bahati nzuri kulikuwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
A new firefighter was being trained by an old fire chief. "How would you react if a sudden fire flared up on the front of the building?" asked the...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Teja mmoja alikuwa na tabia ya kuokoteza vishungi vya sigara(i.e vipande vinavyobaki baada ya sigara kutumika).Kwa Kila vishungi sita(6),teja aliunda sigara nzima moja(1).Siku moja teja aliokota...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
As I was going to St Ives I met a man with seven wives Each wife had seven sacks Each sack had seven cats Each cat had seven kits Kits, cats, sacks and wives, How many were going to St Ives?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nasikia Jiji la Dar ndo jiji pekee linaloongoza kwa wingi wa washamba duniani!
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Jake was dying. His wife sat at the bedside. He looked up and said weakly: 'I have something I must confess.' 'There's no need to, 'his wife replied...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamaa mmoja alimpiga kibao jamaa ana stimu za bangi, jamaa akamuuliza: "umenipiga kikweli au umenitania? akamjibu kikweli, Mla akamwambia: Afadhali kwani mi spendi utani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baba mmoja alikuwa na mazoea ya kulala uchi. Siku moja wakati anajiandaa kulala akavua nguo, mara mtoto kaingia chumbani bila hodi. Baba akaona hii noma, ikabidi aufiche u b o o katikati ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mla bangi mmoja alifungia funguo ndani ya gari, wakaja vijana na waya wakamfungulia, akawaomba ule waya akatoe copy.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jk amekuwa bingwa wa kuwaunganisha watanzania katika mambo ya kijamii. Amefanikiwa kutembelea hadi gerezani kuona jinsi maisha yalivyo,amehudhuria misiba mingi pengine kuliko rais mwingine...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Shekh yahya na Gwajima nani zaidi MCHUNGAJI AMPA MASHARTI SHEH YAHAYA-JANUARY 4 ,2010 Siku chache baada ya mtabiri mashuhuri wa Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahaya Hussein wa Dar es Salaam...
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Mlevi mmoja alipita makaburini usiku bahati mbaya kulikuwa na kaburi lililochimbwa hajazikwa mtu, akatumbukia, kila alivyojaribu kutoka ikashindikana, akaamua kulala mule, muda si mrefu akapita...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom