JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
HA HA HAAA.. WAHAYA MPO!!!???? just a joke *Doctor Kimaro : What happened to your arm? > Mutagwaba : I broke it. > Doctor Kimaro : Where and How did that happen? > Mutagwaba : Okey. It...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
kweli siasa ndo kila kitu.leo kutokana na mtafaruku wa cdm na ffu imesababisha mmu kudorola.asikuambie mtu.hii kitu hasimami bila aman.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mpemba alikuwa anatizama movie ya kimarekani, kila mara anasikia mother f u c k e r, kidogo mother f u c k e r. Ikabidi aulize ''Hivi huyu mamaye Faki ni maarufu sana huko marekani? Maana nasikia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mlevi mmoja aliingia choo cha wanawake, mwanamke akamwambia 'THIS IS FOR LADIES'. Mlevi akanyanyua u b o o wake akasema 'and this is for ladies too'.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wavuta bangi waliokuwa maskani walipokolewa mmoja akatoa ushauri kuwa ukuta ulio mbele yao unawazuia kuwaona manjagu wakija, kwahiyo wausukume wausogeze. Wakavua mashati na flana zao wakawa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari JF! Jamaa aliambiwa ku do ni kutamu kuliko asali. Jamaa hakuamini maana hakuwahi ku do hadi umri wake huo. Watu wakamtafutia mrembo anaejua majambo vilivyo... Akawekewa hapo...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Alikaribishwa mchungaji mgeni kutoka Africa Kusini kufanya ibada/mahubiri katika kanisa moja hapa bongo,kwa kuwa ilikuwa lazima kumtafsiri kwa vile hajui kiswali ikabidi atafutwe...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna ile imani kuwa mkijikuta mnapiga miayo kwa wakati mmoja inaashiria kuwa mnawaza kitu kimoja. Sasa jamaa mmoja alimuona mke wake akipiga mwayo, wakati huohuo akamuona mtu mwanamume...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Baada ya mahubiri marefu,mchungaji aliwaambia waumini wafunge macho ili waombe.Wakiwa wamefumba macho,alizama kwa kapu la sadaka na kuibua pesa kibao,akazitia kwenye mfuko wa koti la suti...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
61,52,63,94,46,A.Pambanua mtiririko huu kisha uitambue namba 'A' ambayo ni namba inayofuatia katika mtiririko huu baada ya 46.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kosta iliyobeba abiria wakat akiwa anaendesha ghafla mbele kulikuwa na trafik akampungia mkono na kumsimamisha wakat ameshampita trafik akaona kitu kuwa kunatofaut akamfuata dereva na kumwambia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tunauza, Mikate, Kisusio, matofali, mchele, kokoto, oil chafu, nyama choma, matunda, nondo, cement, firigisi za kuchoma, majeans, kofia, maziwa fresh, mtindi, mkaa, baiskeli, dizeli, matairi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna kila dalili kesho kutatokea umwagaji damu hapa Arusha, naomba viongozi wa CDM wanipe mimi dili la kutengeneza DVD ya matukio ya kesho ili na mimi nijikwamue kutoka ktk wimbi la unasikini...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
JF up! Nakumbuka ndio nlikua namaliza masomo nchini Amerka....nkitoka nafanya shopping za nguo na viatu navituma kwa ndugu zangu kila walipo! Siku moja mizigo ikazuiliwa..baadae ilichiwa. Ndugu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajamvi nipe tafsiri ya Ferguson kutetemeka mikono na miguu kuliashiria nini, dogo mmoja alitania eti ni kiduku ya Ughaibuni ya kweli hayo?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Watoto walikuwa wakicheza, muda wa kurudi nyumbani ukafika. Mmoja akaanza kulia, Mtumishi wa Mungu akamuuliza, 'Unalia nini?'. 'Nimepoteza yeboyebo zangu', dogo akajibu. Mtumishi akamwambia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
KIJANA WA KIDOSI BAADA YA KUMALIZA TUITION YA KISWAHILI, ANAJIBU IFUATAVYO: (1) Mfa maji?… tampa life jacket. (2) Mwenda pole?…tachelewa fika. (3) Usipoziba ufa ?…mizi taona mpaka dani. (4)...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
muandishi wa habari wa TAMWA alimuuliza MILIONEA,"hivi ni nani aliyekusaidia kuwa milionea?"milionea akajibu"MKE WANGU"mwandishi akasema,"kweli wanawake ni msingi wa maendeleo,kabla ya hapo...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna kale ka sheria ka kulinda haki za watoto (The Childrens 2009)sijui utekelezaji wake umeishia wapi. Nipo hapa Arusha City Park (Rest in Peace) ni karibu kabisa na kituo kikuu cha polisi cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom