JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
kWA VIONGOZI WOTE TANZANIA;;;;;;;;;;;;;;;;;; YouTube - ‪The Black Eyed Peas - Where Is The Love?‬‏
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani duniani kuna watu wa ajabu sana, huwezi amini leo kanisani nilikaa na jamaa mmoja anavuta sigara kanisani bila woga, nilitetemeka nusura niangushe bia yangu....
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Wazima wote?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
tangazaji mmoja aliwauliza vijana 2 waliopuliza ganja: Mtangazaji: Hebu wewe tuambie kuhusu Tz. No.1: Mimi mshkaji Tz ni mama yangu imenilea na kunikuza. Mtangazaji: Vizuri, na wewe ndugu tuambie...
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Uvimbe kwenye Ubongo : Daktari: Nasikitika kukwambia una uvimbe kwenye Ubongo. Masawe: Ndiyo (akaruka kwa furaha) Daktari: Umenielewa nilichokwambia? Masawe: Ndiyo nimekuelewa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JF nashukuru kwa michango yenu! Hilo swali nimekua nalisoma mara kwa mara kwenye maandiko mengi sana. Kwako wewe unachangia vipi? Tunawasilisha!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuku anakula hata kinyesi cha binadamu hata kupelekea usemi ukimchambua kuku huwezi kumla.lakini kwa muonekano tofauti na bata hachezei tope,bata kwa upandewake tope na kunya ovyo ndo jadi,lakini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
John alinunua gari kwa £4000,akaliuza kwa Henry £5000.Akalitamani tena,akalinunua kutoka kwa Henry kwa £6000.Siku za baadaye,akaamua kumuuzia lile gari Jane kwa £7000.Je,John alipata faida ya £...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi kama ingelikuwa kila ukitenda dhambi moja unatobolewa tundu moja. Jee sisi leo tungefanana na kipi kati ya hivi: NETI, CHUJIO au TENGA?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sisimizi wawili walikutana na punda wakamwambia tupigane mieleka, punda akawajibu: hivi mnaona mimi mjinga sana, nyinyi wawili mimi mmoja si mtanichangia, kama mnataka tupigane mmoja mmoja.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimejaribu kuchunguza sana kwanini gharama za harusi siku hizi zinakua juu na kufanya watu wachoke hata kuchangia nikagundua yafuatayo Wanawake waolewaji ndio chanzo 1. Wanataka mashindano…...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
An office manager was given the task of hiring an individual to fill job opening. After sorting through a stack of resumes he found four people who were equally qualified. He decided to call the...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
A man walking along a California beach was deep in prayer when all of a sudden he said aloud, "Lord grant me one wish". The sky clouded and a booming voice said, "Because you have tried to be...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Harry did like he always does, kissing his wife, crawling into bed and falling to sleep. All of a sudden, he wakes up with an elderly man dressed in a cowl standing in front of his bed. "What...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Source: Yahoo friends Nothing is impossible in life.... see THE WORD, ITSELF SAYS CLEARLY " I M POSSIBLE " 21 yrs back in his grandma's place.. From one of the poorest family's chair...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Source: Yahoo friends Talk of stress! Level of stress: you give a lift to a beautiful girl, she faints inside your car and you take her to hospital. Now that's stressful. But at the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wiki iliyopita demokrasia na mihimili ya sheria ilipita atika vuguvugu fulani. Mwanakijiji ni kati ya baadhi ya wa na jf ambao nikisoma mabandiko yao fikra mpya zinapevuka. Nimetafuta na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Panya watatu walikuwa kwenye ubishi mkali na kujitamba. Panya wa kwanza akasema ''mimi hata mtego waweke vipi sikamatwi,nina uwezo wa kuunasua na kufanya ninavyotaka,nani kama mimi?'' Panya wa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
umeshindwa kuongoza. umefeli. umefulia. huna vision. unaongoza nchi kwa mtindo wa bora liende. Rais hujui hata unatakiwa ufanye nini na usifanye nini wakati gani na wapi. kwa kutokujua yote haya...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kisao gave nicknames to his harem of women: Mercedes, Pajero, Toyota etc. depending on the tribe and age of the women. Once a sheikh from Nairobi called him"Kisao huyambo. Una modeli gani kwako...
0 Reactions
3 Replies
918 Views
Back
Top Bottom