JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Waamini walikuwa kanisani, mara shetani akaingia ghafla na kusimama mbele altareni. Mlango ukawa mdogo! watu walitoka nje wakipiga makelele! Baada ya dakika 2 hivi watu wote walikuwa wametoka nje...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakumbuka enzi za ujana wangu niliwahi kusikia kuwa, ukiota ndoto halafu unapoamka tu, igeuze shuka uliyojifunika yaani kule kichwani kuwe miguuni na miguuni kuwe kichwani, mara moja na yule...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Jamaa alikatika mkono mmoja, akaona maisha yanakuwa magumu. Akapanda ghorofani ajitupe chini. Kabla hajajitupa akamuona jamaa hana mikono yote miwili akirukaruka kwa furaha. Akamuuliza 'mbona...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuna jamaa yangu mmoja kaniacha hoi asubuhi ya leo. Tangazo la tembo card limepita baada ya muda likaja tangazo la yule kijana aliyepewa mke wa kimasai baada ya kudondosha salama condom...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Shetani alikuwa anaadhibu watu wake huko kuzimu.Aliwachukua watu akawatupia kwenye tanuri la moto mkali,watu walilia mno isipokuwa watu watatu tu,wao waliomba wapewe makoti mazito wakidai baridi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Boss: Where were you born? Ngonjani: Songea .. Boss: which part? Ngonyani: What 'which part'? Whole body was born in Songea
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A STUDY FROM ONE PSYCHOLOGIST: Wife is like a TV Girlfriend is like a MOBILEPhone At home u watch TV, but when u go out u take ur MOBILEPhone No money, u sell the TV, got money u...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The red tie has been nicknamed the "power tie", and with good reason. This bright color catches our attention and really makes us focus on the man wearing it. But just what is it about the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hongera kwa siku yako ya Kuzaliwa Mungu akulinde, akuagazie, utokapo na uingiapo...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Mimi nawashangaa sana hawa wakina dada.siku zote wakati wa kuvua nguo hata iwe inambana vipi anaipitisha kichwani,vilevile wakati wa kuvaa wanaipitisha kichwani isipokuwa chu** tu.kwanini mnafanya...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Laugh a little: Mchaga alidondoka kwenye kisima cha maji, akapiga kelele akitapatapa. Mkewe akaja na kamba mpya akamshushia. Mume akauliza, umenunua shilingi ngapi? Mke akajibu, buku pale kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tanzania imemkataa Balozi mpya wa Japan kwa kulinda heshima na maadili. Balozi huyo anaitwa FURUKUMA TAKAUCHI, Mke wa Balozi anaitwa TAKATIWA KILAMARA, Mwanawe wa kiume anaitwa NITASHIKA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mkoa wa Singida kuna kijiji kinaitwa SENGE. Raisi Mwinyi alienda katika kampeni za uchaguzi 2010. Mambo yakawa hivi: Mwenyekiti na Katibu WA SENGE, Ndugu wananchi WA SENGE, vijana, wazee...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Maisha ni nini wajameni? Hivi ni kwa nini hasa tunaishi? Nia na madhumuni ya maisha ni ipi? :A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1: Leo nimejikuta najiuliza hili swali na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Barack Obama was seated next to a little girl on an airplane trip back to Washington. He turned to her and said, "Let's talk. I've heard that flights go quicker if you strike up a conversation...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Siku moja Karim,John na James waliweka kambi jangwani.kila mmoja alikuwa na hifadhi yake ya chakula na maji.Karim alikuwa na chuki ya kisirisiri dhidi ya John,wakiwa wamelala usiku Karim alitia...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ukikuingia unajisikiaje?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
WanaJf sijui kama hii barua ilishakuja hapa maana katika pitapita zangu nimekumbana na hii barua labda ilishamfikia Rais wetu mpendwa, Kama ilishakuja hapa Mod atanisadia Source:Google (1)...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuhani Fundi Mchundo Binti maringo YournameisMINE Hawa watu walikuwa active sana hapa jamvini kipindi sijajisajiri, ni mda mrefu sana sijawasikia wakongwe hawa. Naomba niwaulize nyie akina...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Mpaka kufikia hapa leo kuna mambo mengi ya nyuma ambayo yanaleta kumbukumbu za kusisimua wewe unakumbuka mambo gani? Kwa upande wangu nakumbuka jinsi nilivyokuwa tunatumia sabuni za kuogea kupaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom