An elderly woman went to her local doctors office and asked to speak with her doctor. When the receptionist asked why she was there, she replied, Id like to have some birth control pills....
Kuna jambo uliwahi fanya ktk maisha , kazini, shuleni popote na unajua hakuna mtu aliyetambua kwa kipindi hicho andika ukweli sasa.;naanza nilipo kuwa sec nlikuwa na mwonekano wa utulivu sana ila...
Mh. Madam speaker, kwa kuwa serikali yetu inaajiri wanajeshi kila mwaka, na kwa kuwa hakuna kitu wafanyacho zaidi ya kula na kukimbizana na raia. Na kwa kuwa serikali yetu inanunua silaha kila...
So, dunia haijaisha! (Ofcourse 21th may 2011 haukuwa mwisho wa dunia). Tafadhali tumia nafasi hii kutuambia ni vitu gani au ni kitu gani ulichowahi kufanya ambacho ungekijutia kama kweli tarehe 21...
UK- Ex-minister jailed over expenses fraud
Elliot Morley has become the first former minister to be jailed for cheating his expenses after a court sentenced him to 16 months in prison.
Morley...
A Mhaya from Tanzania, An American and a Japanise met in a Sauna along Manhattan Street In New York. They were all nude without any cloth on them. Sudennly an American did as if wiping his face...
duu!kesho kiama,yaan kesho picha linakwisha,"the end "mchungaji wa marekani huyo,mwaka huu naona watumishi wa bwana wanafunuliwa sana mambo makubwa,babu Loliondo full matibabu,na huyu mchungaji...
Kuna bwana mmoja alikuwa ameajiri msichana wa kazi kutoka kijijini, sasa kuna siku moja baada ya kupata msosi akaomba toothpick. mazungumzo yalikuwa hivi:-
Baba: Dada naomba toothpick (stick)...
Mmarekani, Mjapani na Mtanzania walikutana chuo Kikuu cha Harvard wakaanza kutambiana kuhusu uchaguzi katika nchi zao. Mmarekani akajigamba kwa kusema sisi wamarekani tukishapiga kura, kura...
Hivi karibuni vyombo vya habari viliripoti mgogoro katika kanisa moja la kianglikani lililopo Ukonga Dar es salaam. Mgogoro huo unatokana na waumini kumkataa kiongozi wa kanisa. Ktk jitihada za...
Ukipewa namba zinazofuatana katika series yenye constant interval between one number,the previous number and the next number,ni rahisi sana kuzijumlisha,tuanze na idadi witiri ya namba...
dah,kama vp tuwaenzi wale maticha wanokoooo,kwenye level zote angalao kwa kuwataja majina tu
Ndetiyo'mazengo primary
'huyu alikuwa akikuta sehemu yoyote lazima akuangushie stiki za hatari'...
kuna jamaa mojaa alikuwa ana ishi na mkewe,sasaa jamaa akawa anatabiaa ya kula kilaa siku saa saba au saa nane usiku....wife kavumilia,ikabidi amuulize.jo mbonaa kila siku unakulaa usiku sanaa...
leo nilikuwa nasikiliza redio moja wakawa wanasema babu kachangia sana maendeleo ya kijiji cha semumge ikiwa na pamoja kuwekewa minara ya sim za mkononi, na kujengewa barabara,
wakauliza je hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.