Huu mwezi una nguvu kubwa sana katika maisha ya viumbe hapa duniani.
Na hasa unapokuwa full/ mzima kama ulivyo sasa mpaka binadamu hushawishiwa na nguvu zake. Mwanamke hakika huu mwezi ikiwa...
Hivi ni kwanini Ukienda Pub, Lounge au Bar kama hutumii kilevi wahudumu wanakuona kama Takataka?
Ina maana sisi tusiotumia Vilevi hatutakiwi kupata refreshment.
Wakuu kwanza mimi siyo mlevi,
Ila Hakuna watu wenye ubinadamu kama walevi.
Anzia wachungaji, maaskof mpaka polisi.
Ukipata shida fulani watafute kwanza walevi.
Walevi wa pombe, bangi n.k...
Nasikia kumbe aliyekuwa Rais wa Marekani Barrack Obama alikuwa Shoga ( Gay ) ila kumbe yule tuliyekuwa tunadhani ni Mkewe Michelle Obama hakuwa Mwanamke bali alikuwa ni Mwanaume na inasemekana...
Asalam aleykum ..wakuu
Natumain nyote kwa ujumla wazimaa na kam kuna ambae anaumwa M/Mungu amponyeshe🙏
Nilikuwa na maswali mawili najiuliza sana na sipati majibu kwa kweli nimeona niwaulize...
Jana nimeweka uzi humu nikihoji kwanini ofisi nyingi za ujenzi kwenye wilaya au manispaa hazipo ktk mwonekano mzuri? Kuanzia majengo. Je serikali haioni?
Tuwe tunakutana siku zote za mechi kali Tudiscuss mambo mengine tofauti na mpira,Sio lazima wote tuwe mashabiki au mnaonaje jamani....We kama Shabiki wa mpira huu Uzi upite ukiwa umesimama...
WATANIKUMBUKA SANA
Hivi nipo njiani narudi zangu jijini Dar es Salaam natoka mjini Mwanza ambako nimekaa kwa kipindi cha mwezi mzima Hotelini. Mwanza nilikuwa kikazi na katika kipindi chote hicho...
Poleni wanaume wote ambao wake zenu wako mbali nanyi. Hakika mnaibiwa sana.
Weekend hii ni zamu ya wanaume wa Dar ambao wake zao wako mikoani. Mmoja wa wanaume hao atachapiwa weekend hii, maana...
Uhuru umepita kiwango
Hivi maji kutoka kwenye mabomba bila kukatika ni kuzidisha uhuru kwa wananchi hii haikubaliki.
Lazima mgao uwepo na watu wakatafute maji huko mitaani.
Mambo ya kudekadeka...