JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimwaka wa tatu Sasa natafuta mchumba wa kuowa, lkn Kila nikipambana kutafuta naangukia pia, naombeni maelekezo websaiti nayoweza PATA wachumba... Ata group la mamanzi wa kizungu mm fresh...
1 Reactions
1 Replies
532 Views
Before you show interest in a widow, find out what killed her husband first. -African Proverb
1 Reactions
0 Replies
258 Views
Wadau tumeona nyuzi mbalimbali zikitoa ushauri mzuri huu uzi ni kwa ajili ya ushauri usio na Faida tu , Nitaanza [emoji3][emoji3] "Kama hana hela piga chini" " Wewe ukishindwa acha tu , sio...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Sifa awe anaishi Morogoro Asiwe single father au kapera na awe anajishughulisha Location: Msamvu kwa sasa cheo mtendaji
7 Reactions
28 Replies
1K Views
Kwa hizi gharama za Mafuta hii gari used namba A Mark two lazima nisingetoboa . Hakika niliona Mbali. Mungu Ni Mwema hi hela naongezea mtaji sitaki tena gari.
4 Reactions
7 Replies
872 Views
Siku moja nimepanda bajaji kwenda eneo fulani nilikuwa nimekaa na mdada mmoja maneno mengi sana ambaye inaonekana anajuana na dereve bajaji au wamezoeana muda mchache. Nikiwa hatua chache kufika...
20 Reactions
22 Replies
4K Views
Tafadhali haimaanishi kudharau,au kashfa yoyote kwa Mama yetu mpendwa,kwanza yeye ana ngozi ngumu,Embu pitia comments za anaowaongoza na anachowapigania wanavyofikiri,ufurahie siku yako..
0 Reactions
2 Replies
475 Views
Christmas nzima hadi mwaka mpya mlikuwa mnapuyanga tu kwa Kula Bata Juliana na Beach Kidimbwi huku mkisahau kuwa mna Mitihani na sasa mmepata 'Misapu' yenu kila mkipanda Dala Dala Kazi ni...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuuuu poleni na majukum, Kiukweli huwa nikija dar mapumziko ya kikaz hupenda kujirusha viwanja mbali mbali . Lakini samaki samaki masaki wazeee weekend kuna ps kali zinakula bata tupeane...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Binadamu ameumbwa na woga, Kila mtu ana hofu na kitu fulani, Hapa chini ni orodha ya aina tofauti tofauti za HOFU (phobia). Ipitie kisha utuambie kama umeipata yako. . Venustraphobia - Uoga wa...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau Eid Mubarak Takribani karibia watu wote tukilala huwa tunaota ndoto.... Kuna zile za uongo na fix za kutosha kama vile kuota umeokota gunia la hela, yaani unyama mwingi mwaisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ (kila...
0 Reactions
9 Replies
865 Views
Life is not measured by the number of breaths we take,but by the moment s that take our breath away.HAPPY NEW YEAR TO ME
10 Reactions
24 Replies
1K Views
JF imejaa watu wa kila aina na ndio hawa hawa tunaishi nao mtaani, wengine pia ni ma diaspora, viongozi nk. Haya ndio makundi ya J na karibu kila mtu yupo kundi tajwa na tabia zake kama...
68 Reactions
287 Replies
19K Views
Mimi kama msukule mzembe siku zote mtoto wa kike akiniambia i love you lazima nimpe laki 1 sijui nina ugonjwa gani. Yeyote anaejua dawa ya kuacha huo ugonjwa anisaidie maana unanirudisha nyuma...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari za jumapili, Ivi Ukiondoka Leo duniani. Utakumbukwa kwa jambo gani?
1 Reactions
8 Replies
896 Views
Polisi katika jimbo la kaskazini mwa India la Uttar Pradesh ametoweka baada ya madai kwamba alimbaka msichana wa miaka 13 ambaye alienda polisi kuripoti kwamba alibakwa na genge la vijana. Kesi ya...
1 Reactions
0 Replies
717 Views
Habari wakuu .. Nauliza kwa wenyeji wa moshi au wenye uzoefu. Ni sehemu gani nzuri ya kufurahi na kuenjoy Moshi Ahsanteni
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Kuna ka hali fulani ka wasiwasi huwa kananipata....ambacho deeply hakuna sababu ya msingi ya wewe kufanya hivyo.... Mambo yenyewe ni kama yafuatayo... 1. Hata niwe na simu inakaa na charge muda...
12 Reactions
40 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…