Habari mabibi na mabwana, bila shaka ni wazima, na mida hii kila mmoja wetu yupo kwenye mihangaiko yake ya kujitafutia mkate wa kila siku.
Nisiwachoshe sana twendeni kwenye dhumuni la habari hii...
Today listening to phil Collins song do you remember
This thought about how we used to be struck my mind 😪 and I just wanted to express this to you
I MISS U JACK
Today as I sit back and...
[emoji235][emoji195]Sungura mmoja aliingia dukani na kuuliza
"Mna karoti?".
Wakamwambia, "Hapana, Hatuna".
Siku iliyofuata Sungura akaingia tena na kuuliza ," "Mna karoti?".
Wakamjibu kwa...
Habarini mabibi na mabwana, embu tuelekezane machimbo wanayouza kitimoto safi iliyopikwa kwa ustadi mzuri, iwe rosti au kavu kwa hapa Dar es salaam. N.b kama itikadi yako haikuluhusu pita kimya kimya
Hio ni miji inayokuwa kutokana na juhudi tofauti za Wanachi na Serikali.
Lakini tofauti na hii miji kuwa impressive, bado hii miji inatofautiana kwa kasi ya ukuaji na kasi ya mzunguko wa pesa...
Kuna muda au zile situwesheni unakasirisha na mwingne lakini hasira zako unamtolea mwingne tena hata hahusiki kabisa naamini wote tunazo .
Bosi kazingua ukirudi unaanza na mke unagomba tu hata...
Nilikua nimelamba dume mpaka julai ila naona wamewahi kunifungulia bandani
Anyway nilikua na swali inawezekana kweli kuzuia kusimamisha maana sometime bila kutegemea upo kwenye daladala mara paap...
Wakati fulani nikiangalia documentary ya bilionea Billget iliyoitwa "inside the Billget brain" aliulizwa swali moja muhimu sana kwenye documentary yake kuwa ni jambo gani bilionea huyu analiogopa...
[emoji112][emoji112]
Maisha ni safari na hapa duniani katika hiyo safari huwa tunakutana na mengi sana ,tunakutana na vitu vya tofauti tofauti.
Hapa duniani vitu vingi hutofautiana kitu X...
Jamaa mmoja alishinda bahati nasibu sh. milioni 20. Kwa sababu ya matatizo ya Blood pressure aliyokuwanayo,waendesha bahati nasibu wakaamua kumtafuta daktari ili ampe mshindi ushauri wa...
Chorus,
Could you be loved and be loved?
Could you be loved and be loved?
Verse 1,
Don't let them fool ya,
Or even try to school ya,
Oh, no
We've got a mind of our own,
So go to hell if what...
Ni Toto moja la kimasai nimelipata sehem moja maeneo ya Kimara ,kwao geti kali sana,.juzi tukapanda pipa hadi arusha kwao then tukapanda Noah za namanga, tukafika mpakani wakasema lazima turudi...
Kuna majina ya pekee au ya ajabu kiaina humu jukwaani. naweka orodha hapa kisha mhusika akiona jina au ID yake aitike tujue yupo, unaweza kuongeza majina mengine ya ajabuajabu!
1. Uporo wa wali...
Wakuu ninaanzisha Uzi maalumu lengo lake Ni kupeana zawadi za vocha na muhusika atakayepewa vocha katika PM lazima aje atoe ushahidi hapa katika Uzi huu yaani unachofanya Ni Una mtag member...
Habari za wakati huu wanaJf,
Ni asubuhi tulivu watu mko katika majukum yenu ya kila siku. Eeeh bhana leo kwa mara ya kwanza nimeamua kunywa Bia nijue Inaleta feeling gani mpaka watu wanakesha...