Muda wa chakula hasa mchana na jioni huwa napiga sana miayo ambayo nashindwa kuelewa chanzo chake.
Hii hali inanitokea ni Takribani wiki sasa na awali nilichukulia kawaida ila sasa inaniogopesha...
Muda sasa takribani mwaka na miezi nasumbuana na huyu kicheche. Kicheche huyu bwana ni kama alikuwa anatumwa, amekula viranga na kuku wangu sana, huwa anafumua nyavu za banda na kutinga ndani...
Sifa ya mwanaume ni kulipa gharama na si kulipiwa.
Kukubali kulipiwa ni kuuvua uanaume wako na kuamia upande wa jinsia ya pili.
Hata kama umetolewa 'out' na rafiki yako, jitahidi angalau...
Najua wengi wetu tunaifaham hii pubnmpya lakinu maarufu sanaa haa Tanga.
Leo nakula windhock mambo yangu yako vizuri kama si kosei hii chupa ya 6.
Ninazo 4 zinasubiri makamuzi hapa mezaji...
Je, ni Tabia Gani hupendi au unapenda ukiwa safarini
Binafsi Napenda kukaa na binti nikiwa safarini ila asiwe na Smartphone kubwa kunizidi. Utakuta wewe una Tecno pop2 F harafu yeye ana iPhone...
Baada kupata crisis za bundle hapo March 3, ilikuwa ni mtihani mzito kwa sisi (TEAM POPO) au wazee wa bundle. Za usiku kwan bundle hizi ziliondolewa na mitandao mingi hili. Ilinipelekea ugumu...
Unakumbuka nini kuhusiana na gazeti la sani mwishoni mwa miaka ya themanini na mwazoni mwa miaka ya tisini?
Nimekumbuka enzi zile za gazeti la SANI, jamaa walikuwa wabunifu sana kwa matoleo...
Aisee hii ni kero kwa kweli yaani kwa siku tunapata umeme kwa masaa machache tu.
Kama ni mgao basi mmetisha sana, vifaa vinaungua na hakuna fidia yoyote inayotolewa...
Mwanamume wa kimasai aliingia katika benki moja huko Nairobi Kenya kwa lengo la kuomba mkopo.
Alimwambia afisa wa mikopo kuwa anaenda Dubai kikazi kwa wiki nne na anahitaji kukopa 5,000 Ksh...
-Matatizo ndio mlo wangu kila siku,
-Pesa hazikamatiki,
-Maisha yananizidi kimo,
-Nafukuzwa kila mahali na migambo wa jiji sifanyi biashara zangu kwa amani, eti nachafua jiji,
-Maji shida,
-Umeme...
Here's where the world's 1.4 billion cows live
This one's straightforward: The density of cattle is highest in India, in east Africa, in northern Europe, and in South America. China's got plenty...
Mapenzi ni mchanganyiko wa mambo na masuala mengi sana ikiwa ni pamoja na maneno ya kutamka na kuandika, zawadi, na mambo mengine mengi. Kama ndivyo wewe member wa JF ni nani unayehisi kuwa kwa...
Dada zetu mpo? Huu uzi ni wenu tunaomba mseme ukweli kuna mwanaume wa kukupa 50k cash zama hzi?
Ukimwelezea shida zako, matatizo mwanaume wako anaweza kukupa 50k bila kinyongo?
Life is so good now, kila kitu tunagawana. Maji tunagawana, umeme tunagawana, Barabarani tunavumiliana na dizel tunachoma.
Kwa kifupi life is so good now. What do you think?π. Kama hujaoga...