Kwa sisi wana JamiiForums wa vijijini ambao toka tuzaliwe hatujawahi kukanyaga Hilo jiji hebu tukutane hapa na kufarijiana maana wanadarisalama wanatudharau Sana.
Jambo moja kubwa ambalo naamini...
Naamini kila mmoja wetu anachukua tahadhari kujikinga na COVID 19.
Je, mhenga mwenzangu unakumbuka dMt, Co cabs, MORETCO, TADECO, CORETCO?
Je, unakumbuka magazeti gani ya zamani, ambayo ukiwa...
Unakuta mwanaume hana hata passport. Hajawai jata kutoka nje ya nchi hata Kenya tu awajawai kufika. Mwanaume hana exposure. Hivi mwanaume unakosaje passport?
Mwanaume unakosaje kutoka nje ya nchi...
Nipende kuomba radhi kwa kupotea jamvini kwa muda.
Sababu kubwa ni majukumu mengi niliyopewa.
Wakati muafaka ukifika nitarejea.
bado misimamo yangu ni ile ile na kamwe haitobadilika.
KWA HISANI...
Anaingia akiwa timamu, Busara na hekima za hali ya juu lakini kadri muda unavyoenda sasa[emoji116]
Binti yangu Hujambo? Naomba niletee bia.(ya kwanza)
Dada njoo naomba ya pili
We Mhudumu, lete...
Habarini wanajamvi,
Acha kwanza nicheke hahahahaahaa na huo msemo tajwa hapo juu zamani kipindi kile nasoma nilikuwa nawasikia tu maBro wakisema dogo sina hata mia mimi kwa uelewa wangu mdogo...
Jamii Forum, mahusiano, hivi kumuomba msamaha mpenzi wako wakati hujamkosea ni sawa au ni unafki tu?
Hii haihusiani na maisha yangu acheni umbea sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuelemishane...
Habari zenu wana JamiiForums.
Mimi ni mzaliwa wa hapa dar es salaam lakini sio mtu wa kwenda mahali bila kua na misheni maalumu, napata tabu kwa kushindwa kujua maeneo gani tulivu ambayo siku...
Inakula mafuta kiduchu sana.Unaenda nayo popote kuanzia sokoni,kazini,kanisani hadi kwenye kula kitimoto. Inapita popote katika majira yote ya mwaka.
Changamoto: Haina siti/kiti cha kuwapa watu...
Dear future wife ,where are you mida hii ? I hope upo nyumbani tu mtoto mzuri ,unaangalia movies au unasoma comments insta then ulale au unaandaa nguo za kwenda kusali kesho ,ila kama unaandaa...
Tuambiane ringtone za simu yaani means mziki ambao simu yako inaitia maana ukitazama kwa makini hio song ndo itakuwa Ni song unayoipenda kuliko zote.mimi notification ikiingia au call Basi...
Kuna jambo nimelikumbuka wakati nafanya mazungumzo na wafanyakazi wenzangu leo. Tulikuwa tukijikumbusha visanga na mambo mbalimbali ya miaka ya nyuma wakati tukisoma.
Ni kuhusu kujaladia...
USIPENDE KUTUMIA ALAMA HIZI BILA KUZIELEWA . HIZI NI BAADHI YA ALAMA NA MAANA YAKE:-
[emoji173] pendo la moyoni
[emoji182]busu zito
[emoji177]pendo changa
[emoji105]busu la pozi
[emoji175]pendo...