Habari wakuu, JF hom of great thinkers.
Kama heading ijielezavyo, ni kipi kipimo sahih cha akili? Au mpaka tuseme fulani ana akili tunazngatia vigezo vipi?
Kuna uhusiano gan kati ya akili ya mtu...
Miaka 4 iliopita nilikuwa mlevi wa kupindukia, nilimtesa sana wife, kurudi saa 9 usiku kwa sana, umalaya n.k, hom nilikua naacha 2000 na tuna watoto 3, wife alilalamika snaa na mwisho nikahama hom...
Habar zenu wakuu , natumai mko poa
Daah aisee ni hivi kweli mda mwengine shetani anazidiwa
Juzi wakat nipo safarin hivi mkoa flani tulifika late night stand so kwa sisi ambao hatuna wenyeji...
Ndo maana tumekuwa na wasiwasi Sana kila tunaposikia taarifa ya msiba.ukweli Ni kwamba tunajiua wenyewe.kifo nakifananisha na jinsi samaki u avyomvua na Kisha kumuua na kumpika ndo kifo au niseme...
Habari zenu wakuu, jamani new brides and grooms naomba liwafikie hili, mwaka Jana classmate wangu alikua anaoa.. nikapewa KADI ya kamati na umaskini wangu nilijipiga laki nzima.
Shuwaini...
Hatua kwa hatua mapishi ya mbege.
Mahitaji kimjini mjini
1. Ndizi mbivu
2.ulezi
3.msesewe
4.mkaaa
5.ndoo walau 4
5. Maji
Chukua ndizi mbivu zilizoivaa kabisa na kulainika sana,zimenyee kwenye...
NAITUPIA LAWAMA SIMBA "WEKUNDU WA MSIMBAZI" KWA KUMLIZA MESSI HADHARANI.
Baadhi ya vyombo vya habari vya Hispania na Argentina vimedai kama Leonel Messi wa PSG angekubaliwa kujiunga na Simba SC...
Nime kuwa nasikitika sana kuona wanaume wenzangu wananaua tumidori vigari vidogo sana havina nafasi Ist,Vits na ndugu zake wakina passo n.k tupambane tutafute hela tununue BMW V8 PRADO n.k
Kwema Wakuu!!
Masalia wa adui zangu mjiandae. Katika sherehe za Mwezi wa Damu, ambazo zitaanza 09August na kuisha 10November.
Sherehe zitavurumushwa Kwa miezi mitatu mfululizo.
Masalia wa adui...
Wana bodi JF,
Tupia clip ya audio, video au picha iletayo faraja, kicheko au tabasam ukisindikiza kwa na ujumbe mwanana mahususi kabisa kwa yule ulie muona Leo akiwa stressed na siasa za hapa...
Je, ni kupitia ngono kupunguza hisia zenye frustrations?
Je, ni kwa kuswali na kusali?
Je, ni kwenye michezo, simu au wapi?
Je, ulipataje amani ya kudumu?
Yaani sijui ni mitandao na zile filter za apps.ndo zinawapa kiburi na kujiona wazuri, wajanja, watamu, matajiri. Sasa ukikutana nao show show duh, utabaki upaliwe mate kwa kucheka na...
Hivi kweli kwa maisha haya ambayo ukiugua corona huchukua round mnapata wapi ujasiri wa kufurahia maisha na huku mnasema watu wanatembea sio mchezo. Mimi binafsi nilitegemea sasa hivi muwe...
Leo ni siku muhimu katika historia ya Maisha yangu, ndiyo siku ambayo Mwenyezi Mungu alinileta duniani kupitia wazazi wangu Bi. Asteria Kapela na Mzee James Bukumbi (wote marehemu).
Napenda...