Kwakweli Anko magu hakua perfect ila ni Rais ambaye watanzania wengi tulimpenda sana.
Alitufundisha uzalendo,kua proud na utanzania wetu hata kama sisi ni nchi maskini. Hakupenda watanzania...
Ni weekend ila kwako wewe kwa kumzoea mtu wa JF na umekuwa benet naye kiurafiki sio kimapenzi na unahisi ukitoa sifa zake atapata kusudio la moyo wake basi leo mpe sifa mwenzio akatulie kwake...
Jamani ni zaidi ya miezi sita sasa, haipiti siku tatu bila kumuota raisi MAGUFULI, mara niote eti Mimi ni mmoja wa walinzi wake wanaomlinda nahii si mara moja naota.
Wataalamu wa ndoto nisaidieni...
Kama hujaoa kwa hili baridi ndo basi tena
Kama huna hata wa kuboostiana nae kwa baridi hili nakupa pole
Kuna watu waliachana na wapenzi wao sahivi wanalaani tu kwa wanawish wangekua nao
Baridi...
NI GHETTO LANGU TUU LINALO WAZINGUA MADUU LINA NIPA CHAT KIJITONYAMA MPAKA EAST ZUU
Maisha ya ghetto matamu jaman alafu maduu wanalikubali ghetto langu mpaka sielew an..
Hebu nambieni niongeze nn...
Mwaka mpya wa fedha tumepelekwa mbiombio aseee na mambo yalikuwa Ni mengi bado bilabila na mother anaupiga mwingi na inavyoonekana hata bia kumbe hazitashuka Bei kumbe ile habari ya punguzo la bia...
Wale mademu Virungu kuomba kuomba hela sasa hivi tutawagonga mpaka
Wakitaka elfu 5000 njoo uchukue maana watakata hiyo hiyo elfu 5000 mama
Tanzania mbele Kwa mbele 2021
Habari ndugu.
Poleni na majukumu ya kila siku na misukosuko ya kisiasa inayoendelea haswa kipigo cha mzee Warioba.
Napenda kuwapa taarifa njema kuwa baada ya masaa machache nitasaini mkataba wa...
Leo ni siku ya kumbukizi ya kifo cha Mfalme wa Muziki wa Reggae barani Afrika, Lucky Dube. Nimejikuta nakumbuka kisa kimoja ambacho huwa nacheka na kujiona mpumbavu sana kila nikikumbuka.
Enzi...
Habar wakuuuuu,
Poleni na mahangaiko ya wiki ,Wakuu leo ni weekend tupeane location ya kiwanja chenye watoto classic na beer bei elekezi jijini Dar es salaam . mfano TPS BEI SIO ELEKEZI BEER...
Mwishoni mwa mwezi wa July nilifikwa na jambo kubwa katika maisha yangu.
Ilikua ni kumpoteza mtu ambaye nilikuwa na kila sababu ya kuamka na kupambana ili aone matunda yangu siku moja. Mungu...
Yaani wake zako walikuwa mahasimu kwelikweli hadi kutishiana kuwekeana sumu na pengine walishazichapa saana mbele yako huku ukipambana kuwaamua.
Leo unarudi zako home baada ya mihangaiko yako...
Leo nikiwa katika kuchati kwenye ma group ya whatsapp nimekutana na video ambayo imenishangaza sana. Jamaa mmoja ana jinsia ya kike (papuchi) ni muafrika
Katika video hiyo wanaonekana watu kama...
Mwenye kujua kazi ya hivi vinyaji afunguke hapa,
Kwa uelewa wangu ni vinatumika kuongeza nguvu za mwili na kufanya ujisikie fiti muda wote.Nazungumzia shark na redbull ,ila kwa zanzi najua...
bangi inapokutana na pombe kwenye mkutano wa hadhara...
Jamaa alikua ana date na demu wa kisabato na mambo yalikua hivi.
Jmaa:baby unampenda msanii gani wa kike!?
Demu: me hata siwajui kabsa...