JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Eti! "Woooo! Mke wangu kasema"πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Yule wa pili akasema, "juha ni mimi, jana nilikwenda sokoni nikanunua nyama, na mchele, na nazi, na bizari na kunipia nikaja nikampa mke wangu akapika akaisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu katika dunia hii, ukiwa na pesa kuna starehe kubwa mbili ambazo mwanaume kamili huwezi kwepa kujihusisha nazo eidha zote mbili kwa pamoja ama uchugue moja Starehe hizi ni 1. POMBE 2...
7 Reactions
127 Replies
11K Views
Mgombea Urais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) akiwa chini ya ulinzi mkali kuelekea kwenye uchaguzi. Toa maoni yako
3 Reactions
21 Replies
3K Views
MWENYEKITI WA KAMATI:BABA V,MSAIDIZI WAKE MZABZAB! KATIBU WA KAMATI: JUDGEMENT.MSAIDIZI WAKE NI DONN! MTUNZA FEDHA: NDUKI,MSAIDIZI WAKE NI SLAVE...
7 Reactions
215 Replies
18K Views
Hello there! Truthfully, at the beginning of the year in office (I used to work in a foreign country back then), we were all supposed to tell one any goal you've archived (in the previous year)...
21 Reactions
376 Replies
21K Views
Nidesturi ya sehemu nyingi kuambiwa "KARIBU TENA" baada yakupatiwa huduma fulani lakini maneo haya kamwe huwezi kuambiwa karibu tena nakama utaambiwa hivyo basi utahisi unatakiwa NUKSI ama UCHURO...
0 Reactions
2 Replies
473 Views
Mtoto unamuhangaikia Kumsomesha Usiku na Mchana halafu unamuuliza unataka kuwa nani baadae anakujibu anataka kuwa Mpiga Debe Msamvu Bus Terminal. Huyu huyu Mtoto ukipiga na ukamvunja vunja na...
1 Reactions
2 Replies
806 Views
Kichwa kinajieleza nahitaji kuunda Secret Society yenye nguvu kama Freemason. Kiwe na influence duniani kama walivyo hawa jamaa.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Acha! Usitoe,usitoe jamani acha!acha shiiiiiiiiii! Oooooh! Hii nisauti nilisikia akiitoa mpenzi wangu akiwa amelela nilipo muamsha kumuuliza mbona kelele?akajibu nilikua naota namzua Dada asitoe...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanaume wenzangu tafuteni pesa tengenezeni maisha yenu hakikisha kwa umri wako, Una gheto lako liko fresh Lina kila kitu. Lakini pia hela ya kubadilisha mboga haikupigi chenga. Nakuhakikishia...
11 Reactions
62 Replies
6K Views
Just to say Hello to you all who we know each other! Bado tunaishi tunamshukuru Mungu, maana miaka mitano nyuma lolote lilikuwa linaweza kutokea.
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Hivi hatuwezi kucheza upatu hapa JF jamani, yaani kila siku awe analipwa mtu mmoja hvi, kwa vocha, mpesa, tgopesa nk...coz naona maisha yanazidi kubana,na jk mwenyewe haeleweki
0 Reactions
73 Replies
5K Views
Imagine ndo umepanga kuonana na mtu leo jamani. Masimu hayaendi, sms usiseme, miamala haisogei yani tafrani. Utajuta yani na ndio usikute uliomba ka emergency kazini kwa siku ya leo, mambo si ndo...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
kwa hali hii , lazima mwili unyooke
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Eti ni kweli kwenye ndoa mkikosa mtoto, mwanamke utasumbuana nae mpaka siku ya mwisho?
1 Reactions
11 Replies
840 Views
Jok
Huyu ndio mfupi kabisa kwenye famiria yao
1 Reactions
2 Replies
582 Views
Collection ya magari yake ni pamoja na Rolls Royce, Porches, Bentley. Umri wake ni miaka 40. Alitumia encro phone, hii ni simu ambayo gps na camera vimetolewa na message zake ziko encryptied...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Mimi hupenda mwanamke anayejali kuwa na handbag nzuri. Je wewe?
2 Reactions
26 Replies
3K Views
[emoji23]"nipeni likes...wakwanza hapa..tupia likes za kenyan's..."ckuiz ukiingia yutub huez kosa hayo maneno kwny comments..binafsi siwasemi kwa ubaya waomba likes ila bado cwaelew yaan hili...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…