JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mi mtoro na hii tabia ipo hadi leo kazini[emoji41][emoji41] Yaani bonge la doja
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Leo ni katikati ya mwaka, tumemaliza siku 183 na zimesalia siku 183. Nawatakia Amani, Furaha na Mafanikio ya nusu mwaka uliobakia. [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
1 Reactions
2 Replies
492 Views
Maisha ya binadamu huwa hayana maana kama kumbukumbu za furaha zitazidiwa na kumbukumbu za huzuni, ili kupata furaha kuna njia nyingi sana mojawapo ni kutoka nje ya eneo ulilolizoea. Karibuni...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za mchana ndugu zangu. Baada ya chama kukubaliana kuhusu kukaza masharti ya kuhonga, sasa wanawake wamekuja na mbinu moja matata sana. Tafadhari sana usije ukauza mechi kwa hawa wasichana...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
1.maduka mawili moja la rejareja mtaani na lingine la jeans mtaji wake Zaid ya million tano 2.saloon ya kiume 3.mashamba mawili jumla heka 12 4.masofa full set 5.tv,deki,sabufa na kitanda na...
11 Reactions
23 Replies
2K Views
Hivi nijambo gani haswa mybe ulifanya kimakosa au hukudhamiria. Kufanya af latley unajuta dah JAMBO hiLI bora hata nisingefanya 🤔 AU Ni kitu gani ushawahi kufanya, lakini hautafanya...
2 Reactions
8 Replies
866 Views
KAULI GANI YA MWALIMU ILIKUA INAKUKERA SANA ME NAMBA 1 1. Hata msiponisikiliza mshahara wangu uko pale pale 2. Kama unajua kuliko mimi njoo ufundishe 3. Ulikuja peke yako na utaondoka peke...
10 Reactions
58 Replies
10K Views
Kuna upendo wa ukweli ila kuna vitu lazima uweke upendo kati ukajisitiri. Mvua kubwa inanyesha ukapewa lift na bado mchumba au mume anamwamvuli utaenda na gari au na mwavuli na mpenzi wako.
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Ilikua mwaka 1992, sikuzile tukijiita LY. Sasa hatukua na mziki kwenye umaliziaji. Nikiwa kijana, nikijana nikajipiga kifua, baba alikua na radio santuri ya sahani mbili sikuzile. Nikicho kifanya...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
ONEY:mambo love? GIRL:Kimya AFter five minutes ONEY:Baby mbona kimya?[emoji15] GIRL:Kimya ONEY:353647263471264 GIRL:Mbona haingii baby? ONEY:gongelea na nyundo[emoji23]
3 Reactions
3 Replies
961 Views
Ni kikapu nimezawadiwa na mama watoto katika birthday yangu lakini leo hii nimeamua kukitumia kuendea nacho ofisini kabisa. Nashangaa why kila mtu ofisini ananitoela macho!!. Anyway, maisha ni...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Nilivyoendaga Moshi nilishangaa Sana yaani kila nyumba hukosi chai kwenye thermos mnaabudu mpaka chai inawapa uchangamfu au maana sijui kwanini mtu anakunywa chai tu na anashiba kwa Imani bila...
1 Reactions
10 Replies
610 Views
Wakubwa mnaonaje.. Tayari nimehamia nataka nifanye maamuzi ya msingi kipi bora usafiri au mwanamke wa umri wa makamo nimekutana nae namuhofia ingawa ananipenda sana. Namuhisi na magonjwa haya...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] Siipendi hii emoj kuitumia na inaniudhi sana mtu akiitumia kwangu. Kwa anayejali hisia zangu please, asiweke hii emoj kwenye post yangu. Mimi...
1 Reactions
9 Replies
872 Views
maisha Ya Ubachelor Unaweza Kujishaua Kufululiza Kupika Msosi Hata Mwezi Mzima Ila Vyombo Visafi Vikiisha Ndani Unarudi Kwenye Utaratibu Ule Ule Wa Kula Chipsi Na Paja La Bukujero. Maisha Ya...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Bhana bhana leo nilikuwa na mishe flani hivi Sinza madukani...sasa baada ya kufika nika chill sehemu namsubiria mwenyeji wangu Dakika si nyingi ikaja LAND ROVER ikapaki pembeni kisha ikashuka...
13 Reactions
61 Replies
4K Views
Maisha bora yanaanza na wewe, jipende, jilinde na jiheshimu. Pambana kubadlisha maisha yako leo ili kesho yako ikawe nzuri na kuvutia. Usiwaze kuhusu jana yako, mana umeshaizika na kamwe...
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Na Josephat K. Nyambeya B-2 bomber ndio ndege hatari zaidi ya kivita kuwahi kutengenezwa duniani, ndege hii hujulikana sana kwa jina la (Popo) kwa sababu inafanana na popo kiumbo. Ilianza...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Ni miaka 12 sasa, huyu mwali tulikutana kwenye usahili katika moja ya makampuni makubwa yaliyowekeza Tanzania. Kwa bashasha tulitokea kuelewana na tukafahamiana ndani ya muda mfupi, na vijana...
20 Reactions
63 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…