JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
.
0 Reactions
0 Replies
431 Views
Sijui nimeropoka nini jana bar, nimemka asubuhi nakuta missed calls nyingi na messages za niliokuwa nakunywa nao wamenitumia picha za vyeti na CV zao?
6 Reactions
7 Replies
2K Views
marc anthony-everything you do ambao upo katika album ya MENDED ya mwaka 2002,wimbo wa 13.Ndio wimbo ambao kwangu mimi ndio mzuri kuliko zote duniani.Ukifuatiwa na next to you by chris brown..Kama...
0 Reactions
30 Replies
10K Views
1.Vile viti vilivovunjwa pale uwanja mpa vimetengenezwa? 2.Nimetoka moro kutoka jana 3.Anord swaniger hahaha wewe umekutana na zipi zilisokufunja mbavu
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Hebu tuambie basi jamani, uligegeda/gegedwa siku ya ngapi baada ya mtongozano mimi namaliza mwaka sasa kuna manzi alinikubalia mtongozo ila mambo ananipa kalenda
1 Reactions
92 Replies
7K Views
Imetokea tu..mmekutana baa Wewe meza hii na yeye meza ya pembeni...dj akipiga wimbo gan utamshukuru sana..tena ikiwezekana utaimba kwa sauti/au kucheza kwa madoido
3 Reactions
54 Replies
6K Views
Naheshimu sana huu msemo"Kuna hela naisikilizia".Nashangaa watu wanaubeza na wanadharau pale wanapoambiwa. Mtu anayesema hivi ina maana moyo unataka lakini pesa haipo kwa wakati huo kukamilisha...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni usiku! Tunaongea wale tunaoliona jua usiku wa manane. Baada ya chupa kadhaa za Whiskey + Beer! Nimejikuta natamani kuongea. Tunajua msemo kuwa 'wherever there is wine, there is truth. Basi...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wezi wa Mifugo waliiba ng,ombe kwa Mmasai kisha wakamfunga Mmaasai Uchi kwenye Mti ucku kucha Asubuhi Majirani wakamuona na kumpa pole akasema sisikitikii Ng'ombe Wangu kuibiwa bali huyu Ndama...
7 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Hello guys Nawashukuru wanajf wote walio pamoja nami katika lolote liwe zuri liwe baya Mungu awabariki wapendwa. Pia, nawale wote walioikomaza akili yangu positively or negatively shukrani sana...
52 Reactions
837 Replies
46K Views
Tanzania mko wapi jaman hata top teni hatumo?
1 Reactions
22 Replies
2K Views
MAMBO MADOGO YAVUNJAYO NDOA. 1. Ulevi 2. Umbea 3. Pedi chafu kutupa uvunguni 4. Umaskini 5. Uvivu 6. Ulafi 7. Wizi 8. Kujamba mbele ya mpenzi wako 9. Kunya (kujisaidia) bila kufunga mlango (self...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Hebu tuzikumbuke Shule zetu za msingi tulizosoma miaka hiyo na Jambo gani ambalo hutalisahau? Aidha si vibaya ukasema ulikuwa unashika Nafasi ya ngapi. Karibuni!
7 Reactions
737 Replies
80K Views
Jana baada ya Chelsea kuchukua ndoo nikaliunga libeneke hadi saa 10 alfajiri ndiyo natinga home...tilalilaa Leo nimeamka saa nane mchana..nikatoka kula mbuzi choma maana kila kitu kilikuwa...
2 Reactions
7 Replies
736 Views
Kuna jamaa[emoji1465] alipost kua anahitaji 20k [emoji383] ana dharula. Watu wakasoma [emoji102] na kupuuzia isipokua dada moja tu ambaye alimfuata DM na kumtumia 50k [emoji383]. Kumbe yule...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana JF... Moja ya ndoto zangu maishani ni either kuoa Mnyarwanda au Mwarabu. Hope ipo siku itatimia na Mungu ataweka mkono wake.
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Wakina mama wana Njia tatu ta kuonesha Hasira. 1. Silence 2. Crying 3. shouting. Ni yupi kati ya hawa ungependa awe mwenzi wako?
0 Reactions
2 Replies
802 Views
Namuombea nafasi katika serikali yangu apewe kazi maalumu ni kijana wa Aina yake anastahili tuzo hapa jf ya great thinker Bora anayechipukia kwa mwaka 2020.sambamba na Hilo napendekeza mamlaka...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Mi mpaka leo humu jf nnaowahisi ni member wa kike ni hawazid watano...nyie wenzangu mnawafahamu vp? Maana unaweza kumuita mtu bro kumbe ni pisikalina unaweza kumuita mtu dada kumbe dume..hiz id...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Leo tunasherehekea siku ya kuzaliwa ya mwanadada mashuhuri duniani "MIA KHALIFA"
2 Reactions
115 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…