Asikwambie mtu chuo kinapendezaa. Hawa 1st year walioshushwa hapa ni wa kiwango cha kimataifa.
Nimeshazunguka kwenye major varsities kama UDSM, IFM, SUA, UDOM, Iringa University na SAUT kwa...
Katika mazingira gani?
Mi nilipataga trafiki mmoja Kibaha pale Maili moja. Alinikamata kwenye ile zebra crossing. Nikalipa faini kiroho safi halafu nikampa business card yangu.
Ndiyo ikawa hivyo.
Jamani embu tuambieni Kati ya vilevi hapo Chini ukimuona mtu anatumia huwa una muona wa ajabu sana yaani hajitambui(hopeless and useless man).
1. Ugolo
2. Gongo
3. Bhangi
4. Mirungi
5. Konyagi na...
Ndugu zangu,
Yawezekana kuna mtu ulimfanyia kosa kubwa na ukashindwa kumuomba msahama moja kwa moja au kukiri kwake, basi jukwaaa hili ni kwa ajili yako, sema hapa hata kama hataona lakini...
Habari zenu jamani, Wakubwa zangu Shikamooni, rika langu Mambo, wadogo zangu inakuwaje.
Mi bana naomba kujua na kuuliza tu Humu Jamiiforum hayo majina mnayotumia mlikuwa mnafikilia nini au jina...
Tangu nijiunge JF kumekuwa na watu kwenye majukwaa tofauti kuwa active wakichangia hiki na kile. Kwa sababu tusizozijua watu hao kwa sasa hawapo, hawa hapa ni baadhi yao
Lizaboni
Simiyu Yetu...
COURTING
Out on her first date her mother 's words were ringing in her ears: " Say no to everything he suggests."
So after dinner and a couple of drinks he said: "Do you mind if we fool around...
Naomba niwe mkweli. Mimi enzi hiyo nikitoka na mshua naenjoi saana yaani; kila kitu ntanunuliwa na iwe icecream, juisi, karanga nguo, viatu fresh ila maza alikua anabana saana aisee.
Hebu nipe...
Ninavyojua mimi baadhi ya majina ya sehemu mbalimbali yana maana na eneo husika. Je vipi kuhusu majina haya ya baadhi ya mitaa ya Zanzibar?
1. Mchambawima....hapo zamani kuna watu walikuwa...
Habari wanaJF
Poleni na majukumu na hongera kwa utafutaji Mungu azidi kubariki kazi za mikono yenu.
Kama mada inavyojieleza pale juu, naomba ushiriki wako
Ahsante.
Tulio pata division 4 na Zero (0) kidato cha NNE, na tumetoboa kimaisha , tukutane hapa..
Aiseee, Mimi kidato cha NNE nilikula Zero nzuri tu, nikaingia mtaani kupambana, sahiv mambo super ...
Katika taasisi za vyuo na sekondari za wavulana huwa kuna vijiji jirani ambavyo hupakana na vyuo hivi.
Kwenye vijiji huwa kuna msichana mmoja anakuwaga malaya sana kiasi cha kutembea na wavulana...
Hapa ofisini kuna dada wa masijala kafika ana miezi miwili. Mzuri kweli...umbo lake matata hasa. Sema tu ni mswahili sana.
Ananiona mimi mpole so mara nyingi anakuja ofisini kwangu kunifanyia...
Kuna jamaa toka Mbeya anajiita mc mboneke anatrend sana IG na mambo yake ya videos anakimbia huku anajirecord mara anasema, irudiweee.
Nimeshangaa eti saivi kikao mtu anajirecord anamuiga huyu...
Kukosea ni vibaya ila kutokuomba msamaha ni vibaya zaidi.
Napiga magoti mbele zenu watanzania wenzangu naombeni mnisamehe.
Sikufanya hivyo kwa makusudi sema nilisahau kuwa nchi ambayo babu yangu...
Kuna tetesi tokea juzi kiungo nazi ni adimu sana hapo mjini Dar es Salaam ni sababu tajwa ni mechi ya Simba na Kaizer.
Kama ni kweli kwa hakika hiyo hali haikubaliki kamwe!
Serikali itoe tamko...