JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kama ilivyo desturi ya ndugu zetu Wachaga nasi tumeanza kwenda home Bukoba city kipindi Cha mwisho wa mwaka (kwa njia mbalimbali hususani Ndege-Scheduled and chartered, private expensive cars na...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Wakuu unajua kuna muda unasema ningekutana na mtu huyu basi ningependa kujua moja mbili tatu, basi hapa ni mahala pako pengine ukapata nafasi hiyo. Mimi binafsi ningependa kukutana na wafuatao...
2 Reactions
68 Replies
4K Views
Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Habari wanajamii forum. Muda sasa nimekuwa nikisoma na kuandika hapa lakini nimekuja kugundua kuwa hii ndio post yangu iliyosomwa sana na wanajamii forum kwasababu hata wewe umeisoma post hii...
1 Reactions
8 Replies
713 Views
Jana katika page ya Garson Msigwa alijirecodi anakimbia, sikutilia maana nikajua ni swaga tu kaamua. Jana hiyo hiyo kwenye mitandao ya jamii nimeona clips nyingi za watu wanafanya the same ila...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu zangu tusaidiane swaga apa kidogo. Leo ofisini kuna msichana alikuja, mimi nilitoka ile narudi ndo nikamuona pale. kwa ule uzuri nikashindwa hata kusalimia sasa baada ya yeye kuondoka...
4 Reactions
108 Replies
6K Views
Salaam Naleta mada hii kama chemsha bongo. Huwa natafakari Sana. Je kama Baba napenda mwanangu wa pekee wa kike mwenye umri Kati ya miaka minane na kumi nambili, napenda kwenda nae safari ya...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
FAIDA KUU TATU ZA SIGARA 1.Mvuta sigara hazeeki, 2.Mvuta sigara haumwi na mbwa, 3.Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwizi... Ufafanuzi. 1. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
niaje wana JF....nipo mbeya mjini.nauliza mwenye anajua the best night club in mbeya iwe na amsha amsha,mtu nyomi shoo daily totoz kma zote PLZ ANIFAHAMISHE ILIPO
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Nimefanya utafiti kwa miaka kadhaa na kuchukua sampuli kadhaa na nimegundua kuwaa ukipiga punyeto itasaidia kuwa na ngozi soft na laini kama mtoto mdogo hata uwe na michunusi mingi kiasi gani...
7 Reactions
61 Replies
8K Views
Wakuu tupeane ripoti za mshahara wa mwezi katika utawala wa Rais wa 6 awamu ya 5 mama yetu Samia Saluhu. Ameshalipa? Tujuzane ili wanao dai tuweze kuwavutia waya
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari zenu binafsi! karibuni katika kipindi cha search line. Kipindi hiki ni maalumu kwa wale waliopotezana na ndugu /jamaa na marafiki. unachotakiwa kufanya ni kumtaja ndugu/jamaa/rafiki...
1 Reactions
100 Replies
6K Views
Habari, Naitwa Khamis. Namtafuta rafiki angu tumepotezana ni mwaka sasa na ushehe hatujawasiliana. Sina mawasiliano yake, anaitwa Anamary/ Intisary alikuwa akipenda kujiita Maysara Alikuwa...
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Hassan alikutana na Mary katika mtandao kwa facebook.Wameongea mda wa wiki mbili wakaamua kutana ana kwa ana katika mkahawa.Hassan alikua na shillingi elfu ishinirini, alimlipia Mary nauli ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Yaani huwa nashangaa hadi natetemeka, yaani katikati ya tukio kwenye nyumba ya wageni tena show yenyewe inahusisha kikainishi cha KY Jelly, mtu anaanza kuwataja watakatifu utadhani anawaita wadogo...
18 Reactions
55 Replies
5K Views
Ni kawaida kwa nchi za Afrika ikiwemo Tanzania kila mtu kuwa na mbaya wake au kwa lugha nyingine tunaita mchawi. Mtu ambaye hufurahia anguko lako, mtu ambaye huumia moyo unapoinuka. Mchawi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Today is World happy husband Day. Let us maintain 2 minutes silence and appreciate some real life experiences quotes of some great personalities: After marriage, husband and wife become two sides...
4 Reactions
1 Replies
898 Views
Tokea ale Kiapo chake hakuna Nguo anayovaa isimpendeze na hata isivutie Machoni mwetu Wazee wa Kuchunguza na Kudadisi kila Kitu. Siyo Siri Nguo alizokuwa akizivaa alipokuwa Makamu zilikuwa hazina...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Basi leo asubuhi nimemuona mrembo mzuri masikini hata hawezi kugombania gari, nikaona hapa hapa ndio pa kuchukua ujiko! Nikapanda fasta nikawahi siti ya watu wawili halafu nikakaa katikati ili...
5 Reactions
5 Replies
856 Views
Naanza kwa kumshkuru Aliye Juu, Muumba Wetu mwingi wahuruma na mwenye upendo nas sisi. Kilio chetu jaman hawa dada zetu muda mwingine unakuna labda nipo single kabisa sina mtu wala hata mmoja...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…