JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
John alimwalika Sally kuja kula chakula. Waliwasiliana kwa simu kwa muda John akamweleza Sally pahali mkahawa iko. Sally alipofika alikuja na marafiki wake wa kike watatu. John alipoona hivi...
2 Reactions
3 Replies
664 Views
.;"";. .;"";. IDDI IL HAJJ ; ; '+, ,+' "+,+" NAPENDA NIWE WA MWANZO KTK KUKUTAKIA MAANDALIZI MEMA YA CKU KUU *ITIKIA DUA HII * ¤ALLAHUMMA TAQABAL SWIYAMANAA...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Katika miaka ya karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la dada wanaojiuza usiku kutoka nchi jirani katika miji yote mikubwa Tanzania.Ukienda sehemu yoyote ya starehe usiku na kuongea na wadada...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Nadhani katika ukoo ambao una members wengi wa jamiiforum Basi ni ukoo wangu mimi. Ipo hivi Kuna siku nimerudi kutoka chuo ilikuwa weekend nikafika nyumbani baba akanipa simu nikamtolee hela tigo...
8 Reactions
71 Replies
6K Views
Salutiii....MMU....!!!!!! Niingie janvin mojakwamoja ..binafsi mm ex wangu. Nilimtext. Nikamfahamisha. ...enhe wadau karibun tujuzane..... Je wewe ulitumia njia ipi???
3 Reactions
155 Replies
19K Views
Tahadhari: KWA WANAUME TUU Ukipata muda nawe jaribu kuchunguza Yaani mdada pisi kali anaitwa mahali kustarehe, akale, akanywe afurahi... Kishapo!?[emoji848][emoji23] Vuta ile picha anapoletewa...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Nimekuwa muhanga wa kukopesha watu hela ila silipwi kwa wakati na wengine hawalipi na kuamua kukaa kimya, nachoka kuwadai kwani wanakaa kimya ninapowadai, wengine wanamua kubadili namba. Mwaka...
2 Reactions
59 Replies
7K Views
Soma namba vizuri hapa, kama huwezi kusoma namba moja wapo basi unaumwa ugonjwa ulioandikwa chini ya namba hiyo.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
wadau tangu jana kila mtu analalamika oh mvua, oh mvua.... kipindi kile oh joto oh joto, sisi nini unapenda....? mvua au jua ...? Hebu tujadili...... wale wamobondeni karibuni pia ...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
[emoji3][emoji3][emoji119]
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Nina tajiri mwenye jeuri anataka nitumie hela zangu za watoto wangu nikamtembelee yeye wakati ninakoenda kuna mtoto wangu anaweza kuniwakilisha. Kama anachofanya yeyee kutotembelea majirani zake...
1 Reactions
1 Replies
967 Views
Wakuu Hawa Wote utawatambulisha Vipi Kwa Wamiliki Wa Mgahawa Ili Upate Hyo Free Meal?
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Sorry sana kwa usumbufu kama nitakuwa nimewakwaza, kama mungu atapenda inshallah Ndugu yenu ndani ya masaa 24 yajayo natarajia kupata katoto ka kike kutoka kwa shemeji/wifi yenu hivo...
1 Reactions
9 Replies
805 Views
Dondosha your best pick up lines ulizowahi kutumia kung'oa demu.
0 Reactions
5 Replies
638 Views
Kila mara tu nimwonapo Mama yetu wa Kizanzibari akikutana na Mzee Wetu Mstaafu wa Pwani Bagamoyo naona huwa anafurahi na kuwa na 'Bashasha' nyingi sana zenye Mithili ya Kimahaba ( Upendo wa...
5 Reactions
11 Replies
785 Views
Kama kichwa cha habari kinavuojieleza ilikuweje ukafikia hatua ya kufanya maamuzi ya hutokuja kuoa au hiutokaa Luciano Je, tazizo ni nini?
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Niwatakie kila la kheri wamama wote wa JF Mungu awaongoze mlee watoto wenu katika maadili mema mkiongozwa na maandiko matakatifu katika dini zenu.
1 Reactions
3 Replies
396 Views
Nakumbuka humu huyu jamaa alileta habari yake ya kumiliki Mali kwa njia za kishirikina, kama kumbukumbu zangu zipo sahihi, halafu akahamia Telegram huko. Sasa leo katika pitapita zangu nasikiliza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa yetu kaenda masomonj kamuacha mkewe now kapewa mimba anaangaika kuitoa
2 Reactions
124 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…