JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
“Whoever betrays the country will pay the price, I assure you...Whoever it is, it is a matter of time.”
3 Reactions
6 Replies
724 Views
Kuna video Ina trend hivi sasa ikimuonyeeha dada mmoja akililia penzi la Harmonize. Hi imekuja baada ya siku kadhaa nyuma kulipovuja mtandaoni video zikiuonyesha Mushobozi wa Taifa unaomilikiwa...
8 Reactions
82 Replies
8K Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa ( TMA ) walikuwa very active kutupa updates za Kimbunga Jobo, ila nashangaa kuhusu hii Mvua kubwa na ya ghafla iliyoleta Baridi Jijini Dar es Salaam hawajatuambia na moaka...
1 Reactions
6 Replies
830 Views
Kuna huu usemi umeingia. Yaani Ni shiiidaaa
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mke Alikagua Simu[emoji336] ya Mume wake Akakuta Majina haya.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] [emoji117] Super Woman [emoji117] My Love [emoji117] Woman of My Dream [emoji117] My...
8 Reactions
6 Replies
1K Views
Kichwa cha habari chahusika Mimi nilipendelea zaidi mchezo wa kombolela Tule tumbakishie Baba Mdako Tobo ngumi Kombolela Kujipikilisha Tayari bado Kibabababa Michezo hii ilijenga afya zetu na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimetoka kuangalia mechi ya mtibwa na kmc nikawa navuka barabara hamaaadi semitrailer hii hapa Mimi nikiwa katikati ya lami . Walioniona wakapiga kelele na kufumba macho wakijua nimeshakanyagwa...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
Chumbani wamejaa mbu na hivi sina neti wananisumbua sana Sasa nimefunga mlango wa chumbani nimewaacha wenyewe mimi nimelala sebleni[emoji52] Muda mwingine tusitumie nguvu nyingi wakati akili tunazo
1 Reactions
3 Replies
922 Views
Pombe hasa zile kali sana Sigara (kwa ma chain smoker) kutoa mbegu kwa mkono (punyeto) chipsi zege na broilers X (video za ku...) Bangi na hasa kama hunywi maji Kujiachia bila kuwa na malengo...
1 Reactions
5 Replies
752 Views
Kuna mama niliongea nae, aliniambia ukikutana na traffic ukawaona ni vijana wadogo au daktari hospitali ukamuona ni kama mjukuu wako. Hapo hakuna ubishi wa chumvi uliyoila duniani.
39 Reactions
149 Replies
15K Views
Hebu tujalibu kupiga soga mbili tatu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tuambie siku ambayo ulipigiwa simu nyingi na watu tofauti kuliko siku nyingne zote na sababu ya kupigiwa...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa lugha hii ambayo inatumia symbols na herufi Kubwa na ndogo kwa pamoja za kibangladeshi lakini matamishi yakisikika sawa na ya lugha za kibantu na majina yakifanana sana.mfano: 1: JEbhh Sgsg...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Ilitokea mahakama ya hakimu mkazi wakati mlokole mmoja hivi wa kiume akimshtaki mdada kwa kumtolea lugha chafu za kuudhi kwa njia ya sms katika simu ya mkononi, ikafikia muda wa mlokole kutoa...
0 Reactions
4 Replies
994 Views
Nani wa kwanza kumnawisha, wakati wa chakula cha asubuhi, mchana na jioni? Na ni kwanini?
0 Reactions
11 Replies
838 Views
Nimemiss michezo ya utotoni, kipindi hicho mtu hajali kuhusu maisha wala nini unawaza kula,kucheza,kulala na Kwenda Shule (KKKK/4K ) Basi hapa tukumbushane michezo ya utotoni kwa picha, Enzi hizo...
10 Reactions
213 Replies
12K Views
Nifanyeje nikikumbuka vya huku jf nisicheke peke yangu maana kuna mda unakuta natembea alafu nikikumbuka baadhi ya majibu ya member humu najikuta naangua kicheko peke yangu hadi...
2 Reactions
53 Replies
2K Views
Kuna dada nimevunja naye mahusiano ya kimapenzi ila naye kaamua kulipiza kisasi kwa kuchapisha mabango na kuweka namba yangu ya simu kwa chini akisema ni mganga toka Sumbawanga anayetibu nguvu za...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Kisa chenyewe kilitokea mlimani city kule upande wa chini kabisa kusiko na magari mengi upande wa Sam Nujoma rd. Tulikubaliana na jamaa yangu tukutane pale kuna mzigo nimpe, lakini baadae...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Habari JF, Story fupi tu ipo hivi jana usiku mida ya saa 8 na nusu nilitoka nje kwenda road kununua maji ya kunywa asee sasa nafungua tu mlango mkubwa wa kutokea nje niliona ndege mkubwa mno...
5 Reactions
41 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…