Kuna Watanzania baadhi mna Mambo ya ajabu na Kipuuzi sana yaani muda wa Kuaga Marehemu ( Maiti ) ukifika Mtu anataka kuanza sijui kupiga Picha na Kumgusa Marehemu huku akiijua kuwa nyuma yake kuna...
Jamaa anapishana na NOAH yake chalinze akiwa kwenye bus na yenyewe ikiwa imebeba Kiroba cha mahindi na watu na aliipeleka kwa fundi ikatengenezwe ilala. Kumpigia fundi kumuuliza mbona gari yake...
Hello jf..
Nimebahatika kutembea nje ya bara la africa sehemu kama Sydney,London,Denver,New york,Istanbul,Melbourne na Madrid.
Nimegundua ukiwa huko hata husikii njaa hovyo tofauti na bongo...
Kwa niaba ya sisi wanywa soda na vinywaji laini, naomba kufikisha malalamiko yetu kwa mheshimiwa mwenyekiti kuhusu vitendo visivyo vya staha ambavyo tumekua tukifanyiwa na jamii. Kati ya kadhia...
Salamu wakuu.
Leo ni siku ya furaha duniani, naomba nijumuike nanyi,Tuwe na furaha wapendwa.
Pia leo ni storytelling day. Lets celebrate [emoji1635]
And my [emoji512].[emoji12]
Muwe na siku...
Mimi hapa nilipo nchini Herzegovina ( yalipo Makazi yangu ya Kudumu ) kiukweli Ninalia mno ila nashangaa Mtaa wa Pili kuna Mijitu naiona ndiyo Kwanza tu inaagiza Supu na Chapati, Mwingine anaagiza...
Ewiiiiii............
Yanyukweeee..........
Daah, salam wakuu! habare za weekend? kwa wale wa mambo yetu yaleee watakua wanaelewa namaanisha nini hapa. haya basi mtaalam mmoja wa chenja aweke kitu...
Kwa kifupi wanaJF nimekuwa na tabia ya kuichukia sana Marekani hadi natamani iporomoke kabisa hiyo dola.
Sababu za kuichukia ninazo nyingi mno, Ila kuna mfuasi wangu anaeichukia USA aje hapa...
Wasalaam Wakuu.
JF ni chuo kitaa. Unajifunza mengi mazuri na mabaya pia. Kama ambavyo chuo kuna kozi huwezi kuisoma, hata humu JF kuna nyuzi ambazo hutaki kuisoma kwa sababu moja ama nyingine...
Kama marafiki zake wa 4 ni malaya, basi yeye ni malaya wa 5..
Kama unataka kujua demu wako ni mwanamke wa aina gani, kuwa karibu na marafiki zake..
Marafiki zake watakuonyesha demu wako ni...
UKOO!
Fikiria, Unaoa mwanamke ambaye tayari ana mtoto wa kike mkubwa. Kisha Baba yako anaoa mtoto wa mwanamke uliyemuoa.
Mtoto wa mke wako anakuwa Mama yako, baada ya Mtoto wa Mke wako kuwa Mama...
Simple F
Yuda Msaliti
Akajesus
Wakorintho III
Sakalani kapita
Nguvu ya upepo kijini
Komando kipensi
Msagamasi ze master
Master dudu (huyu jamaa alikuwa na mzigo hasa)
Four figure man
Man cush...
Eti kwa pamoja leo tudiscus hii kitu, hivi nyie wadada sijui tuwaite masistaduu au walimbwende nauli ya kutoka buza hadi buguruni rozana ni sh.400 tu ila sasa kila uchwao mkiitwaga maghetoni...
Hamjambo humu ndani?
Baada ya miaka 37 ya kutapatapa katika dimbwi la usingoboi hatimaye ndugu yenu natarajia kujipatia jiko mwaka huu mwezi wa 8 au wa 9 hivi. Karibuni sana.
Shemeji yenu...