JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwangu, namshukuru Mungu kwa uzima na afya tele alionijalia mpaka kufikisha siku ya leo, naendelea kumuomba aniongezee siku za kuishi ili nizidi kupata nafasi...
2 Reactions
4 Replies
486 Views
Kitu gani kinakutisha zaidi ukiwa kama mwanaume? 1. Ukosefu wa fedha 2. Ukosefu wa nguvu za kiume 3. Kufumaniwa 4. Mkeo/mpenzi wako kuchepuka
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Leo nimelitazama jua kwa muda kidogo kwa jinsi linavyochoma wakuu hii hisia ikanijia je? Kama ndio jehanamu alafu dunia nzina itatupwa ndani yake alafu ni jambo la milele nyie nyie eeeh! Hivi...
7 Reactions
73 Replies
5K Views
Nipo babati Leo kila kona naona chuchi na binti nzuri kama za kule kuliko lipuka volcano Jana aiii siondoki leo [emoji39]
6 Reactions
134 Replies
32K Views
Muda wa saa nne za Usiku anawika saa saba za Usiku anawika, anataka nitoke niende wapi usiku wote huo, labda anajua mi mturutumbi anakosea sana tena ni mwehu, Kuku wenzake wa majirani wanawika...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana Jf. Nyie ni familia yangu upande wa pili, leo ghafla baada ya kutoka church, hali yangu imebadilika sana....Baridi kali, [emoji1784] viungo vinauma kichwa kinauma sana na kutulia...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Mzee kaingia pharmacy, MZEE: Mambo mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa MFAMASIA: Kitu gani?....Mzee akatoa kichupa na kijiko akaweka majimaji yaliyomo kwenye kichupa kwenye kijiko na...
5 Reactions
8 Replies
3K Views
John ni mrefu zaidi ya Kitty na Carol, Kitty ni mrefu kuliko Sam, Kitty na Sam ni warefu zaidi ya Nancy na Sam ni mfupi kuliko Carol. Je, nani ni mfupi zaidi kuliko wote?? Sent from my SM-J500H...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ikitokea kuna mtu anajitokeza kununua ID za jf, wewe yakwako utaiuza kwa shilingi ngapi? Don't be bias, sema tu kwa uonavyo wewe thamani ya ID yako kwenye platform hii. Maana kuna watu...
2 Reactions
60 Replies
4K Views
Habari! Simba Sc maarufu kwa majina yao ya wamatopeni toka kipindi cha Jerry Muro, na kwa sasa wanatambulika kama Paka Fc/ Mikia. Hawa jamaa wasiposhinda mechi zao zote mbili kwa As Vita basi...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Kuna kitu mnatakiwa muelewe. Sio kwasababu unapambana kwenye kutafuta, basi utafanikiwa. Hapana. Ila usiache kupambana.
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Ilikuwa siku ya uchovu kwangu baada ya kumalizana na shemeji yenu ma vishughuli vya mjini nikaona nijichanganye kwa waswahili wenzangu ktk ufukwe wa Umma wa coco beach hakika Jpili ya leo...
0 Reactions
5 Replies
935 Views
Habarini wana ndugu, Nataka kujua eneo/ sehemu nzuri ya kula chakula (inayopika chakula kizuri) na kwenye mandhali nzuri iliyotulia. Ningependelea zaidi maeneo hayo yawe kuanzia Mwenge kuelekea...
2 Reactions
24 Replies
11K Views
Kama mwenyekiti wa Chama cha Wanaume Wa Shoka Tanzania nasikitishwa sana na hali ya hivi sasa ya baadhi ya wanaojiita wanaume, unakuta mwanaume kabisa kafungulia radio na anacheza kabisa kwa...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
MAHUSIANO YA KIZUNGU Siku ya 1[emoji1314] unatongoza [emoji7] Siku ya 2[emoji1314] mahusiano [emoji131] Siku ya 3[emoji1314] unamkumbatia [emoji127] Siku ya 4[emoji1314] unambusu [emoji8] Siku ya...
2 Reactions
3 Replies
721 Views
Namaliza mwaka 2017 naingia mwaka 2018 jamani kama kuna mtu nimewahi kumkosea humu anisamehe. Naona itakuwa vibaya kuuanza mwaka 2018 nikiwa na vinyongo na gubu moyoni hivyo naombeni mnisamehe...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Motto: kuna pesa naisikilizia
7 Reactions
68 Replies
6K Views
Wenzangu nipo hapa mji wa Coom,kuna kajua kameanza kuchomoza ,na kajoto kwa mbali Nipo Manora street karibu na pub moja hapa mkabala na HSP Watu wa East Africa tukutane tupeane za nyumbani
0 Reactions
6 Replies
660 Views
Jamaa alikuwa amekaa ndani ya club Changudoa akamsogelea na kumwuliza, "Unataka mambo yetu?" Jamaa akamwambia, "Ndio. Lakini, unaweza kunipa kama mke wangu?" Changudoa akamjibu, "Hapa usipime...
3 Reactions
10 Replies
5K Views
Ndo kwaanzaaaa tarehe moja.... Mwezi bado mchangaaaa...! Ndo kwaanzaaaa jumatatu, wiki imeanza hiviii..... Laaambwaaa laaambwaaaa Lambwatikaaaaa.... Maharage yako jikoni nimeshayapika...
13 Reactions
136 Replies
41K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…