Wakuu bila shaka mpo poah!
Leo nimeamua kufunguka kitu ninachojiamini nacho humu JF ambacho nawashinda watu wote.
Katika jambo hili nimeshindikana, mimi ni championea ambaye kwa sasa sina...
Wenyeji wa Dar Es Salaam mtusaidie tuijue Dar.Mtuchombeze tujue Dar inakaaje.
Kwasababu huku country side tunasikiaga tu
Mara Buza kwa mpalange,mara Tandale kwa mtogole.
Mara matajiri wanaishi...
Kuna majina ukiita kwa kifupi yananoga nyie acheni yaani hata kama unamtajia mtu hata kama hamjui au hajawahi kumuona basi atatamani amuone kwa jinsi jina lilivyo romantic, mifano hii hapa
Shunie...
Ndugu Wanachama tunawatangazia tutakuwa na Mkutano Mkuu wa chama, VAT tarehe 13/02/2021, Jumamosi
AGENDA: Hesabu za mapato na Matumizi ndani ya chama
Kupokea Wanachama Wapya...
habarii wadau, imekua ni kawaida cku hz kuona mademu wengi wanapenda kwenda kuogelea kwenye mahoteli, vilevile wengine wanapenda kwenda gym kuchukua mazoez au hata wengine kufanya joging,,,hv kuna...
Habari!
Wengine wanaendelea kusema dunia simama washuke ila sisi acha tujaribu kukumbuka hapo awali ilikuwaje.
Na imani kuna wengi watakumbuka matukio mengi kwa kipindi kile suruali ilikuwa ni...
Hizi ni safari zote zinazotumia muda mrefu kwenye basi kama za kutoka Dar-Mwanza, Dar-Kagera, Dar-Tabora, Dar-Kigoma na kadhalika.
Ndugu zangu nawaambia unapomruhusu hizi safari awepo mwenyewe...
Habari za mida hii wadau!?
Yani nipo napiga hesabu nifanyeje haya Maisha naona yanazidi kupiga chenga tu halo inakuwa ngumu, ukimuomba mtu hela anasema mitano tena sasa hiyo mitano tena ndo...
Habari Jf,
Hapa unaruhusiwa kucomment matukio ya furaha ulio wahi shereke kipindi fulani either na mchumba, mke, wazazi, marafiki na jamii kwa ujumla.
Tuambie ni tukio gani lililowahi...
Wengi nikiandika humu maisha yangu wanadhani mimi ni tajiri. Wala si tajiri. Maisha ya kumiliki gari GMC,RR,Mercedes Benz, BMW, VW za miaka ya hivi karibuni na kukaa apartment Oysterbay si...
Unajua kutumia ndege kunachosha sana. Binafsi nmepanda ndege kwa safari mara nyingi kuliko hata kiwango ambacho nimetembea kwa miguu kwenda umbali wa kms 5.
Mpaka inachosha.sioni jipya kwenye...
Moja kwa moja member kwenye mada member hawa 5 ndio wenyewe hoja zenye mashiko ndani ya kipindi hiki Cha mwaka 2020
Waki'Comment au kuanzisha bandiko lazima utulize kichwa
Tunaanza na....÷...
Nampongeza sana Rais kwa kuishinda Vita dhidi ya Coronavirus COVID-19, pia nampongeza sana Paul Makonda Mkuu wetu wa mkoa wa kihistoria kutokea tangu tupate Uhuru.
Jumapili ni siku rasmi ya...
Mke amemchoma mumewe kisu baada kusikia mumewe akitaja majina ya wanawake 'god thanks 4 ur grace,joy,mercy thanks 4 mkng me to be happy' pumbav wnawake wote hao..!!
Habari zenu wananzengo mimi ndege John nimebarikiwa kuwa na duka dogo la mazao Na vinywaji,genge, saloon ya kiume Na Nina mpango wa kufungua duka la jeans mwezi wa pili mwishoni kwa ujumla vyote...
Naingia zangu facebook naona wameniandikia kuwa kuna ujumbe mpya moja. Nafungua nakutana na ujumbe wenye picha pekee kutoka kwa msela mmoja ambaye tuliwasiliana kupitia hiyo hiyo facebook siku...
Wakuu umofia kwenu? Nauliza iwapo nikichemsha tangawizi km dakika 5 hivi , je inaeza kupungua nguvu au virutubisho vyake?
Maana nataka niinywe then nikamsugue demu
Ni 'Mbabe' ambaye Kiukweli alinipa Jukumu la Kutunza Nyumba yake nzuri ila Mimi kwa tamaa zangu ( japo ni Mchapakazi mzuri tu ) nikawa nachukua Magari yake ya 'Kifahari' na Kutamba nayo Mitaani...
Mwaka 1987 timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars kulikuwa kuna Mchenzaji anaitwa Otieno Mboo, Walifanikiwa kufika fainali ila huyo Mchenzaji aliumia mechi ya Nusu fainali, Magazeti ya kenya...