Mbona wana majina ya "ajabu" ajabu kama ya wateja wao? Wao si inabidi wajulikane wapokee maoni/malalamiko kwa majina halisi maana wao si wachangiaji wanapkuwa kazini au vipi. Kama Maxence Melo ni...
Hapo kipindi cha nyuma kidogo wana-JF walikuja na mtindo fulani amazing sana wa signature. Yaani ilikuwa ni kama title fulani inakaa chini ya comment, hizi title kwa kweli zilikuwaga zinaelimisha...
Wenye pesa wanakulaga tungi balaa lakini hawalewagi utakuta mtu anakunywa bia hata kumi anaishia kutingisha miguu tu uku stori za apa na pale zikiendelea sasa njoo kwa wale choka mbaya akipiga bia...
Habari za muda huu great thinkers.
Huu uzi naomba tufanye vitu vya kigreat thinking tuoneshe umwamba kwenye thinking capacity.
Kinachotakiwa hapa ni kitu kidogo tu ni either kuandika neno ama...
Nimekuta askari kakamata gari kama 6 hivi; school bus zimejipanga hapo.
Halaf nikamskia anawambia, "Magari yana madeni haya mpaka lak4. Nyie januari ilikua bila ada mtoto hakanyagi shule sasa...
Kwa muda mrefu sana wamekuwa wakinisumbua na sms zao mara "soka letu,jibu machache uingie ujishindie kiasi cha tsh 22,000,00...manula ni A.kipa B.beki??
Mi kwa hasira nikawajibu "wasen...e nyie...
Je, labda huwa nakosea?
Nikishasoma SMS nafuta, huwa sikai na SMS kwenye simu.
Sababu ilikuwa ni jinsi navyojikuta nimetumiwa text nyingi na mtu ambaye naweza kuwa namfahaamu na nime msave kwa...
Kudhurumu mabeki tatu...ni ushenzi
Kufia gest na mke/mume wa mtu..... ni ushenzi
Simu kuita kanisani...ni ushenzi
Kwenda kazini huku umelewa...ni ushenzi
Kumpiga sound anayekudai...ni...
JamiiForums imejaliwa kuwa na warembo wengi lakini nimeona nichukue hizi sample mbil na watu mpige kura zenu ili tujue ni nani ataibuka mshindi.
Mshindi atashindanishwa na Money Penny kutoka...
Leo ndiyo nimekumbuka hii ndo siku niliyozaliwa hii tarehe (according to matron alikuwa mtawa wa kike hapo nilipokulia), namshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote kwa sikuu hii...
Nilikuwa nafikiri ni propaganda lakini nimeshuhudia mwenyewe mwanaume akiita mhudumu wa mgahawa amsaidie kufukuza paka waliokua chini ya meza yake akipata chakula na anayeonekana mpenziwe...
Kuanzia harusi, kitchen party, maulid, birthday, kipa imara na kadhalika kwa pamoja tuje hapa tualikane siunajua undugu ni kujuzana na kupeana mialiko.
Binafsi napenda sana sherehe yaani kwa wiki...
Kuna mama mmoja hapa kitaani yeye ni mjamzito sasa huwaga kila nikipita lazima anisimamishe, siku ya kwanza nimepita akanisimamisha akaniuliza unatumia deodorant gani basi pasipo shari mimi kwa...
Katika pitapita zako nje na ndani ya Tanzania hivi ushawahi kumuona chizi la kizungu kama ambavyo machizi tunayoyaona mitaani kwetu huku?
Basi jua kwamba uchizi unatokana na clan history, ukiona...
What if kama inatokea member wa Jamii Forums tunatengewa mkoa mmoja wa Tanzania Kwa mfano, wautenge mkoa mmoja labda Ruvuma then watuhamishie huko ambako tutaishi members wa jf pekee...