Nimekuwa ndugu yenu humu ndani kwa mda sasa.Najivunia kuwa Miongoni mwa active member hapa jukwaani.
Lakini kukaa kwangu kote huku sijajua kabsa namna ya kutag,nyuzi na member kama wafanyavyo kina...
Hapo vip!!
Leo nilikuwa kwenye restaurant mojo nikiwa nimetulia .
Mara majamaa wawili wakaingia wakiwa na mke na watoto wawili..nahisi nimke wa mmoja wapo.
Mara wakaagiza msosi na juice,baada...
Mwanamke wa kitanzania akishabeba mimba inaitaji uvumilivu mkubwa sana yaan mnaweza kushinda mchana kutwa mnacheka ila ikifika saa 8 usiku utasikia MY EBU AMKA KWANZA UNISINDIKIZE SHELI NIKANUSE...
Nilipata msiba wa Baba yangu ambae alikuwa mstaafu na mteja mkubwa wa NMB
Kuna manager wa Tawi moja la NMB naona kabisa analeta habari za kitapeli kwenye Hela za pole (FARAJA )ambazo utolewa pale...
Ule msemo wa Mwaka mpya na mambo umekuwa kivitendo zaidi kwangu kwa huu mwaka, Namshukuru mwenyezi mungu kwa kubariki juhudi zangu na sasa nimefanikiwa kununua kagari kangu(Carina Ti) nikiwa nina...
Kuna watu humu either kutokana na id yake au post na comment zake unaweza kuwavutia taswira kuwa ni watu wa rika/umri flani na muonekano flani hiv.
Je, ni nani unaweza kukadiria umri/muonekano...
Kuna mahali huwa napata mlo mara kwa Mara.
Nimezoeana na wahudumu wote.
Tip huwa nawaachia mara zote.
Ila kuna huyu mmoja akiwa zamu nakosa amani kabisa,
Huduma ni mbovu halafu anaminyia...
Haya mambo bwana tushakuzoea Sana unajua tusemeni ukweli katika Watu wazuri Sana me naamini Mshana amesaidia Watu Wengi na ameathiri iman uelewa na akili za Wengi Sana na tunamkubali.
Misimamo...
Tangia Taarifa ya Kifo chake itangazwe rasmi Jana na Watu kuanza kutoa Rambirambi ( Pole ) zao ama hakika kila ninaposikiliza Vipindi mbalimbali vya Redioni hata kama siyo vya Michezo nimegundua...
ni kawaida yetu kubadili matumizi ya vitu!
Chandarua tunafugia kuku
Dawa ya meno tunapaka kidonda
Mafuta ya transfoma tunapikia chips
Gari ya wagonjwa tunapakiza mkaa
Taja na kadhalika nyingine
Mwaka 1990 nchi yetu ilipata bahati ya kutembelewa na viongozi wawili wakubwa duniani mmoja wa kisiasa mwingine wa kidini.
Papa John na Mandela.
Wakati papa John amekuja Tanzania baba alinibeba...
Nafikiri Wana JF vijana karibia wengi Wana ma getto yao wamepanga na wengine wana nyumba zao wameshajenga.
Sidhani kama bado kuna mwenzetu anayeishi kwao mpaka sasa hivi na anategemea alelewe...