JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wanazengo Embu tulieni kwanza Kuna siku nimekosa kula tunda kwasababu yakitete kitete kibaya jamani yani nilionekana kituko Haaaa Yani kuingia kwenye 18 tu mapigo ya Moyo yanakwenda kasi Kama TK...
3 Reactions
10 Replies
624 Views
Mimi hapa kuna mtu nimempa moyo wangu, bado Ananiomba na hela ya kusukia....[emoji3525][emoji3525]
17 Reactions
26 Replies
3K Views
Kama una chemsha bongo yoyote ile iwe kwa mtindo wa maandishi au picha,,tupia hapa..tuchangamshe bongo zetu 1.nani kaketi kwenye sofa hapo kati ya mkaka na mdada
1 Reactions
86 Replies
12K Views
Nakumbuka tulikuwa tunaruka fensi ya hospitali kwenda kuokota mipira iliyotumika (catheter) maarufu kama tekenya, mipira hiyo ilitumika kutengenezea manati ambayo inavutika sana na kulenga umbali...
11 Reactions
22 Replies
2K Views
Binafsi na ukubwa wangu huu, nimeoa na nina familia, naishi vizuri tu na jamii ila kuna katabia ka ajabu sana ninako na ni siri yangu tu hakuna anaejua. Niingiapo bafuni huwa nageuka kama mtoto...
1 Reactions
12 Replies
968 Views
Sio utani Niko serious nimechanganya ma file hapa kichwa Cha Moto hata sielewi Leo jumangapi ebu nisaidieni.
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Haya maisha tu, kuna leo na kesho. Huwezi kujichukulia uamuzi wa kubadilisha password ya Neflix huku ukijua watumiaji wake ni wengi. Kama ungetaka kutumia tu mwenyewe bila usumbufu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Debate za enzi hizo shuleni... Nani opposer na nani proposer? === Utakuwa unakumbuka midahala enzi za shule, moja kati ya mada kubwa ambayo watu wengi waliwahi kujadili katika maisha ya shule ni...
1 Reactions
88 Replies
8K Views
Simu yangu ya kwanza kutumia ya smart nilinunuliwa zawadi kwenye Siku yangu ya kuzaliwa. Sasa nilikuwa sijui baadhi ya apps huzikuti mpaka u-download mfano:whatsapp,insta n.k nikamtext mleta...
6 Reactions
96 Replies
9K Views
We pita tu usichangie bwana mi sitaki mabango yenu.
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Hata kama baa inakesha...sibanduki kaunta ni mwendo wa kata chupa leta chupa...wanakuwa na keep change nyingi sana wale.... Sio unasubiria mhudum wa kawaida kazi kukupiga mizinga tu Uzi tayari
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Hata kama umepoteza wewe hii simu Niliyo okota, Asa ndo upige kila Muda Huoni Kama Unamaliza chaji kwenye Simu Yangu Mpya 😁 😁 😁 😁 😁 😁
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimesafiri kuja Dodoma kwenye semina kutokea Daslam Sasa na mvua hizi kulala pekeangu naona Kama tabu vile naomba wadada wa Dom mnitunuku japo usiku wa Leo maana nimemtafuta Zero IQ naona hasomeki...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wadau! Najua wengi humu tumepitia life la shule za boarding,je ni moment zipi hauwezi kuzisahau hususa boarding za gavo au hata private?? Binafsi nimepitia maisha ya boarding za serikali...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Hakika u mzuri ewe mpenzi wangu, hakika u mzuri! Macho yako ni kama ya hua nyuma ya shela lako, nywele zako ni kama kundi la mbuzi washukao katika milima ya Gileadi. Meno yako ni kama kondoo...
2 Reactions
12 Replies
762 Views
Wana Jf wenzengu leo nawaachia mji wenu nakwenda kula senene,sato,ekiise, emitoke na orubisi.OSAKA RAHA MOJA HIYO ambao mkotayari karibu twende.MPAO.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Swali hili nililoulizwa na mwanangu Justine wa miaka 4 limeniacha mdomo wazi na nimeshikwa na kigugumizi. BABA MBONA MAMA KAJAA TUMBO? Wewe ungejibuje hebu tusaidiane wakulungwa.
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Kulishwa chakula na mtu mweusi , haswa mwenye ngozi iliyosinyaa(Mzee).πŸ˜€ Hapo natema pupupupu!. Kuitwa jina la mtu mjinga/kichaa/au yoyote nisiyempenda kwa alivyo mfano unaitwa 'we kasoloboi'...
1 Reactions
7 Replies
662 Views
2020 ulikua ni mwaka wenye majaribu mengi sana. Kiuchumi huu mwaka umechapa sana, wakazi wa Arusha, Bagamoyo na Zanzibar wanaweza toa ushuhuda. Nililojifunza mwaka huu kumbe mask kwa kiswahili...
0 Reactions
0 Replies
387 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…