Ni starehe gani inapendwa na watu wengi zaidi duniani?
Kula
Mapenzi
Muziki
Soccer
Pombe
Au Nini Tena
Pamoja na kuwa baadhi ya hivyo vitu Ni mahitaji ya kawaida ya Binadamu Kama kula na...
Nimekuwa nikisikia watu wakitumia neno "maji ya kunde" kumaanisha rangi ya ngozi ya mtu fulani nataka kujua hii ni rangi gani, na hayo maji ya kunde ndio kitu gani? Pia, nataka mtiririko wa rangi...
Jamii Forums tena. Sidhani kama ukweli juu ya maisha yalivyo ulishawahi patikana.
Je, maisha ni magumu kama wengi wasemavyo au ni rahisi Kama wachache waliofanikiwa wasemavyo? Kuna utatanishi...
Tuambie shida mbili au tatu zinazokusumbua
Mimi binafsi
1.hofu ya tatizo la kuumwa macho siku za mbeleni kwa sababu ya kutumia simu muda mrefu macho yanakaribia kufa naona kabisa yanaeza hata...
Nipo naongea kwa uchungu sana Wana JF naona Mahusiano kwangu hayana Maana tena, Nimeumia Wanawake sio watu kabisa anaweza kukufanya ukaijutia siku yako nzima? Na ukakosa raha kabisa,
Nasema...
Habari wanaJF
Polen na majukumu piaa hongereni kwa utaftaji. MUNGU awajalie katika utaftaji wenu.
Lengo la huu uzi sio ni kuwakumbuka na kuwaombea washkaji zetu waliotutoka enzi za utoto wetu...
Huu uzi ni kwa ajili ya madereva wa Uber ku-share mikasa wanayokutana nayo katika kazi zao. Nimeamua kuuanzisha baada ya dereva mmoja kunisimulia mastory ya abiria anaokutana nao hasa nyakati za...
Rafiki yeyote wa kike au wa kiume mstaarabu mcheshi, unakaribishwa weekend hii tukatembee maeneo tofauti tofauti hapa Dar. Kwa alie tayari karibu PM. Gharama zote mimi labda tu wewe uamue kwa...
Niaje wadau leo nimekuja na hii mada na nimechunguza muda mrefu kidogo.
Kwa nn wanafunzi wa chuo baada ya kupata boom huwa na maisha mazuri sana lakini baada ya kuishiwa boom maisha yanakuwa...
Leo kwenye shughuli na mihangaiko ya kila siku nikakutana na vijana wakipiga shangwe, kelele na kila aina ya hamsha hamsha unazozijua za vijana wa sasa.
Ndipo nikamuuliza mwenyeji wa eneo hilo...
Nimepata fursa ya kutembelea ile recreation area mara mbili 3 ila kilichonishangaza of all the times ni huduma zao haziendani na umaarufu wa hilo jina lao.
Ukienda agiza menu basi unaweza maliza...
Habari wana MMU?
Huyu mdada Jane Lowassa yupo kweli humu ndani?
Yupo kimya sana siku hizi hata sioni comment zake huku JF.
Kiukweli nimemmisi sana uwepo wake humu ndani maana ana hoja nzuri...
Habarini za uzima wakuu
Mimi ni kijana nina miaka 31, mwaka huu mwezi wa pili mungu akipenda natimiza 32 (kwa kweli litakuwa jambo la kumshukuru Mungu kwa uhai huo)
Niende kwenye maada moja kwa...
Natafuta rafiki ambaye tutakuwa tukiombeana na pia tunaweza kutengeneza kikundi cha kuombeana. Maombi husambaratisha milima.
Tupendane, tuombeane bila kuchoka
Habari Za Usiku Wakuu..
Aisee! Dodoma huku makao makuu ya nchi mvua inanyesha balaa.
Sasa Tuje kwa Mada Hivi kama Pindi tu unazailwa Tusingekuwa Tunapewa majina Ya mtoto au kumpa jina la muda...
Uncle wetu huyu sielewi kaenda wapi tokea matokeo ya Uchaguzi yatuumize wapenda mabadiliko wengi sijamuona jukwaani.
Nia yangu ni kutaka kujua alipo namsihi sana aachane na watanzania masikini...
Binafsi kuna siku nilikua na mihadi na mshkaji mmoja akadai tukutane pale mlimani city Grano Cofee
Basi tumefika nikapewa menu vitu sikua hata navielewa nikaagiza hyo cofee kikombe kidogi tu...