Leo nataka nione watu wananifahamu au kwenye akili zao wanahisi mimi nipo vipi
Sasa basi leo nataka nitoe kitita cha sh laki 5 kwa ambaye atapatia kuhusu muonekano wangu ,haya sasa twende kazi...
Wakuu lengo la kuanzisha uzi huu ni kwaajili ya kuwachana member wa jamii forum,si kwa ubaya tu bali hata kwa mazuri,,,
najua hili jukwaa ni chuo tosha,kwani tunakutana watu kaliba...
Siku zote hapa duniani watu wakiwa hai huwa hawapewi sifa zao stahiki mpaka pale wanapofariki ndio umuhimu wao unapoonekana
Sasa tuje kwenye mada kuu,hivi siku nikifariki utanikumbuka kwa lipi...
Tunaweza kudhani ni coincidence lakini kuna vitu vilo kiroho zaidi
Mtandao wa Tigo ulipata umaarufu hasi baada ya kubadili jina lake la zamani la Buzz lililotoka kubadilisha na Mobitel
Tigo...
Hivi pale G7 ni Tabata au malamba wakuu.
Nilipotea njia pale asee vijana wanatafuta hela Kwa shida alafu zinaenda kuisha kizembe.
Nimeagiza Redbull wanauza elfu 6. Mana Sasa hivi sio mnywaji wa...
Kila mtu ana lengo la kujenga au kuanzisha makazi sehemu zenye utulivu, amani na usalama vilevile kwenye hewa na upepo mwanana.
Mara nyingi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon au watu wenye...
Dah...Leo nimegonga mvua 70 na ushee...Nilipotoka ni mbali sana..niliyoyafanya ni machache sana ...ninapokwenda ni karibu lakini nina mengi ya kufanya...muda hautoshi...kichwa kinapata...
Sijawahi badilisha hio ni kama id yangu huku porini kama member utanitambua kwa hivo.
Je wewe unapandelea ringtone gani au mlio gani kwenye simu yako?
I love weeds!
Mtoto wa nyoka ni nyoka ndo maneno ya binadamu.
Sometimes Bora rafiki kuliko ndugu wa damu.
Ubaya ukizidi sana unakosa hata tabasamu.
Dar es salaam kutesa kwa zamu.
Yaani Bado siamini kama...
Leo nimeamka nikajiuliza hili swali. Maisha hayako fair kabisa, kuna mwingine buku 5 tu tayari analewa, na kabla ya kuzuia viroba buku tu ilitosha kufanya mtu apate starehe hio.
Kwa upande wangu...
Afadhali hawa Tigo wamebadilisha hili lililokuwa lisha kuwa na maana ya kishenzi
Sema yaaaas
Maana sisi mwenye mishe zetu ilikuwa inatukata kweli
"Naomba Tigo?
"unatigoo hapo?
"Tigo unatoa...
Bila shaka maison club ndo club ghali nchini Tz na yenye hadhi ya five star yani nyota5. Hii night club ipo masaki mtaa wa sea cliff. Maison huwez ingia kizembe lazma ufanye booking kama guest...
The term "Yass" (or "Yaaas") is a slang expression used to convey excitement, approval, or strong agreement. It is often drawn out to emphasize enthusiasm, such as "Yaaas, queen!"
Origin:
The...