Oraa ni vimnyo machizi boti, madingilii na mamanzi wote humu ndichi..I hope mko yente...
Basi bhana acha nidane moko moko kwenye mada yenyewe..Wiki iliyopita tulikua kwenye mahafali ya chuo coz...
Tunaishi kwenye dunia ambayo kila mtu anataka aonekane msafi na mtakatifu machoni mwa watu, hata kama usafi huo utagharimu furaha na Maisha ya wengine.
Kila mtu amekuwa na mamlaka na msemaji wa...
Huu ni uzi wa kutupia vichekesho na vimbweka vya kingereza tu japo mimi nimeanza kwa kiswahili 😅😅 anza na hii
my son is stupid imaging he get zero even if i do his hormwork for him😅😅😅
Habarini wakuu ,
Ni zaidi ya siku kadhaa baada ya kuwepo kwa zuio la baadhi ya mitandao hasa ya kijamii nchini
Sites kama AppStore , PlayStore , YouTube, Instagram, WhatsApp, Telegram ...
Habari kwa wote!
Imani yangu wote ni wazima.
Kabla ya yote naomba tufanye assumptions chache ili mada iwe nyepesi na tuzungumze vyema.
Assumptions hizo kama ifuatavyo:-
Dunia ni ideal. Ideal...
Nchi ya Marekani iko kwenye mchakato wa uchaguzi wa Rais kwa sasa. Naona kimya humu wakati wao mambo yetu wanayafuatilia, hebu tujuzane humu kinachoendelea huko.
Wale wa :
Washington DC
New York...
Wakuu,
KUBANWA mkojo ni hatari sana hasa pale unapo banwa na sehemu ya kuutoa hakuna...!!
Binasfi natoka nzangu mkoani naingia dar nimefika mikumi wese likanibana dereva ndo Kwanzaa anaingiza...
George W. Bush, Barack Obama, and Donald Trump are dead and stand in front of god.
Politics
God asks Bush: “So? What do you believe in?”
Bush answers: “I believe in a free market, a strong...
Kwa mfano ulikuwa unamkimbiza mwizi aliyekuibia pochi yenye laki tano na simu ya thamani ya laki tatu, mara kichochoroni ukamuona mpenzi wako na mtu mwingine wamekumbatia na wanapigana mabusu...
Tangia asubuhi wananipeleka machaka ambayo ndio dream yangu kuyafikia siku nikitoboa. Kuna muda wamenipeleka kwa Trump,sijakaa vizuri wakanipeleka Belgium bado natafakali wakanishusha Paris kwa...
Just pretend FamiiForums is google and search for anything you wish to know. Someone will definetly reply you in seconds or minute.
Some people are natural encyclopedia or a genius.
Let the...
Habari ya kusikitisha! [emoji24][emoji24][emoji24]
Hii imetokea katika katika Hospitali kuu ya wilaya kiteto katika kituo cha mabasi karibu na hotel ya lusaka leo asubuhi
Kuna machafuko mengi...
Habari wana Chitchat
Leo nimekumbuka wale wanaochezesha kamari minadani wale jamaa wanatapeli sana watu simu,hela na pia ukiingia unawaona wako watu wengi wanacheza kumbe wote ni kitu kimoja...
Wananzengo mnaonaje CCM tuipeleke ikatuwakilishe kwenye michezo ya kimataifa. Maana si kwa ushindi huu
World cup.
Mataifa ya africa afcon.
Aisee huko tutawashanza wengi nakuambia.
Kwenu CCM...
1. Unatoa mimba halafu unalala na midoli kitandani..
- Ni maamuzi magumu.
2. Huna hata kitanda na unaamua kuoa -
-Hayo pia ni maamuzi magumu.
3. Huna uwezo wa kumlisha mkeo kazi yako ni kumjaza...
Huko kwenu vipi jamani mimi huku kwetu naanza kuzoea haya maisha ya kuishi bila WhatsApp, Facebook, YouTube, Telegram saivi na enjoy tu hapa Jamiiforums😂