Hi guys,
Nipo tu hapa najiuliza ni kwanini asilimia kubwa ya wengi wetu hatupendi kuambiwa ukweli?? Ukitaka ugombane na mtu sahii njia rahisi ni 'pesa' na 'kumchana'
Yaani kumuambia mtu ukweli...
Huyu ndiye kijana ambaye wakati alipokuwa hahitaji mke alimvunja mguu kaka wa dada. Sasa anamhitaji dada ameamua kujipendekeza kwa kaka eti nipe mke ninakupenda nitakuajiri kwenye kampuni zangu...
Ningekuwa na uwezo wanafunzi shuleni wangejifunza Love shuleni ili tupunguze matatizo yanayosabishwa na mapenzi na mahusiano...
Kama Reproduction wanaisoma basi na Love wangeisoma.
Wangesoma
1...
Habari wana MMU, acha niwaletee hiki kisanga cha wiki.
Nikiwa zangu mjini kwenye harakati za kutafuta nguo za kupendeza, nakutana na demu niliyewahi kukaa nae kitaa kimoja miaka ya nyuma.
Bado...
Habari ya weekend
Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani?
Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho...
Jana nimeamua kumuandikia mrembo ninayemzimkia kitambo barua iliyokuwa na maudhui ya kumtongoza.
Hopefully ata enjoy maana siku hizi hamna vitu kama hivyo nadhani.
Barua yangu ilikua ya muundo wa...
Kuanza naomba kihongozi wa umu hasiwe anafunta abali zagu umu mahana siyo kira mutu anatafuatiliya umu sihasa au mambo ya mana. wengine wako umu kubuludinsha akiri zao sasa musiwe munafunta abali...
Salamuni wakuu. Ase kuna kitu flani huwa kinatokea sana kwenye hizi smartphones zetu na sometimes kinapelekea mtu kujikuta anajicheka, sometimes kupelekea kuomba msamaha kwa maneno mengi ili...
Ningependekeza tuwa-suprise Magu na Lissu tumpe kura zote Hashim Rungwe kutoka CHAUMA.
Pia nahisi tutazi-suprise media pamoja na mabeberu[emoji28][emoji28].
Au mnaonaje wananchi.
Mpendwa Ta Kamugisha,
Dhumuni la barua hii ni kutaka kukupa jibu la ombi lako ulilonifikishia takiribani mwezi sasa.Ila kwanza naomba unijulie hali yako ili nipate amani na furaha moyoni...
Wanasaikolojia wamebaini hatua 5 za majonzi baaa ya kupoteza mtu au kitu - mfano umefiwa, umepoteza mali/sifa/cheo. Hatua ya mwisho ni kukubaliana na hali. Katikati kuna hasira, kukataa uhalisia...
Yaani kuna wale ambao tunampendaga msichana/mvulana mpaka tupate namba ya simu.
Mkishachat ndo umwambie ukweli.
Yaani sometimes wapo ambao wako funny and romantic kwenye phone conversations...
Habari zenu ndugu zangu,
Mimi ni kijana wa miaka 37 kwetu tumezaliwa 2 tu, ila kuna ndugu zangu kama wanne (4) walilelewa na baba yangu mzazi katika makuzi yao, baada ya baba yangu kunifukuza...
Ilikua 2017 nipo mahala na rafiki zangu tunapiga story..ujumbe wa mpnz wng ukaingia ilikua ni picha ...kajipiga kwenye paja lake na Ilionekana Jina langu limeandikwa pale yaan ROBBIN.
bas nikajua...
Habari zenu akina members wote humu nimeona nitumie kiiengereza siunajua kinapanda sana lazima ukichanganye kidogo
Tunaelekea uchaguzi mkuu na unajua wale watu wa mjengoni vile hua wanakua...
Hapa naamini ni jukwaa mchanganyiko na hoja pamoja na mijadala ya kila namna hujadiliwa hapa.
JINSI YA KUFUTA/KUSHINDA KESI KWA KUTUMIA SAYANSI YETU WAAFRIKA.
mahitaji
-mvinje/mwanzi wa njano...
Je, ni kwanini Makondakta wa DalaDala nguvu zao nyingi za Kudai Nauli kwa Abiria wao huziweka sana kwa Abiria tu wa mbele na nyuma lakini mara nyingi mno wale Abiria wanaopenda Kukaa Siti za...