Jana nilienda kumpeleka dogo, skuli ndio anaanza kidato cha tano! Kwenye inspection walikuwa wanakagua mambo kadhaa wa kadhaa. Vyote vilikuwa sawa ila kwenye upana wa suruali nadhani wanahitaji...
Kama kinavyojieleza kwenye kichwa.
utoto Ni sehemu ambayo mtoto hujifunza vitu mbalimbali,kipindi hichi watoto ucheza kwa pamoja mfano kwenye mpira uwa...
Wakuu poleni na majukumu.
Ndugu zangu na dozi ya dawa ila leo nataka nitoke out sehemu nzuri yenye muziki safi nicheze na mtoto mzuri, sasa naombeni mnitajie jina la kinywaji kizuri cha heshima...
Habari za muda huu wanaJF.
Kilicho nikurupusha kufungua uzi huu ni hivi tuchukulie mfano ule uzi wa "kupeana likes" ni imani yangu wengi wetu twaufahamu sasa ule uzi una viewers milioni 15 lakini...
Je wewe una mpenzi wako ambaye ni mke au mume wa mtu hapa Dar es Salaam na unatafuta Guest/Hotel itakayokuwa salama kwa ajili ya kupumzika na mwenzio? Hapa nitataja kuanzia Hotel za bei ya juu...
Hello jopo la MMU. Nimfanyeje huyu πππππππππ
Kitambulisho rejea: CI2xxxxxxxx Umepokea 7,650. Tshs kutoka CHxxxxxxx Salio jipya xxxxxxxTshs.. Airtel Money Branch karibu nawe kila kona ya Tanzania...
Embu weka hapa nyimbo yake yoyote unayo ipenda mpaka kesho kutwa , mie naanza
1.jericho (usipime hatari , tena ile AYA ya kwanza unaweza sema imedondoka dhahabu)
2.john
3.duduke (bonge la...
*JE UNAFAHAMU NINI KUHUSU KUJAMBA?*
*DARASA LA MAHUSIANO*
Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka? Kujamba inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu, lakini inaweza kukufanya ujisikie...
Habari zenu wanaJF. Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu, katika harakati za hapa na pale katika maisha inaweza kutokea situation fulani tuu ukajikuta unajua kitu na kukifanya mbele za watu...
Yaani kila ikifika saa sita za usiku utasikia KWHA KWHA KWHA Juu wahudumu wanafunga viti na meza kupeleka stoo, hadi meza yako na kiti vinaondolewa unalazimika kumalizia bia yako juu juu na...
Muziki ni moja ya burudani kabambe kwa hapa Tanzania inaamsha hisia,kuelimisha na kusisimua.
Hata hivyo wasanii wanatumia lugha za kimafumbo wakati mwingine.
Unaonaje kama tukijaribu kuchambua...
Hivi hii imekaaje?
Kuna jamaa yangu nilikuwa namdai ni muda sasa, yaani naweza sema ni mdaiwa sugu.
Sasa jana usiku ameunda Group la WhatsApp na kutu"add" watu woote tunaomdai, Group linaitwa...
1. SWALI:"Ni mvua inanyeshe?"
JIBU:"Hapana ni supu yamwagika"
2. SWALI:"Hiyo gazeti ni ya leo?"
JIBU:"Hapana ni gazeti yangu!"
3. MWALIMU MKUU:"Umemuona school captain?"
MWANAFUNZI:"Sikuwa...
Tabora sehemu za bata nilizotajiwa ni hizi Oxygen, Shimoni lakini zote nimeziona za kawaida sana , sasa wenyeji nitajieni sehemu za bata kwa huku Tabora.