Umebakia ule mshahara wa mwezi desemba.
Tokea jana watu ni kuweka heshima na kumaliza kila kitu, kila ukiagiza unaambiwa kuna foleni ama vimekwisha.
Tuonane Njaanuary 2025 kipindi cha kausha...
Kama ulikua huyajui maajabu ya MWANAMKE wacha nikufahamishe;-
1) Ubongo wa mwanamke unafanyakazi haraka kuliko wa mwanaume.
2) Kila mwanamke anaamini kwamba mwanaume ndio anaanza kufa kuliko...
Ukitaka kujua akili ta watanzania wengi ilivyo na shida, subiri foleni.
Yani kuna foleni badala watu wakae kwenye line yao wanahamia kwenye line ya magari yanayoelekea uelekeo mwingine. Mwishowe...
Alisafiri na mke wake kwenda sokoni walipofika wakapaki akakaa kwenye gari akimngojea mkewe anunue vitu sokoni mrembo mmoja akapita karibu na gari lake alipomuona akashuka akamfuata huyo mrembo...
Jumatatu na jumanne nitakua huko
MwanaJF aliyeko nairobi tuchekiane. Naenda kibiashara ila kila mara ni mguu sawa mguu pande
Safari hii nataka nizunguke kidogo
SIKUMPENDA, NILIMTAMANI TU ILA ALIKUFA KWAAJILI YANGU
Mwanzoni sikumpenda kutoka moyoni, nilimpenda kwa kuwa tu alikuwa mrembo haswa..kwa kifupi nilimtamani tu...yaani nilitegemea akinivulia nguo...
Mwaka unaisha hivyo ni harusi moja pekee niliyoalikwa, ni tofauti na miaka ya nyuma.
Labda pengine mlolongo wa matukio kadhaa umefanya mwaka huu kutokuwa kwenye mipango ya kuoa kwa vijana...
Mfano unakula kitu chochote halafu kwa bahati mbaya kimeanguka, okota na ule. Acha kuogopa bakteria na wadudu wengine hatari kwa sababu wadudu ama bakteria pindi waonapo chakula kimeanguka kwenye...
Ilikuwa majira ya saa sita usiku natoka zangu kuangalia mpira wa simba yanga naelekea kufuata usafiri ni juzi kati tu hapo basi nikiwa nimetembea kilometa kama 3 hivi nakuanza kuacha hako kakijiji...
Wakuu leo nitawapa siri nyepesi ya kutambua kama simu yako ni original au MCHINA yaani fake (feki!). Ni rahisi sana coz haihitaji uwe JF expert technician kufuata hatua hizi
1. Angalia...
Watu wengi wanaliwa sana maana wanataka kutajirika kwa pesa ndogo, yani MTU anaweka 500/ odds 300 hapo probability ya kushinda ni ndogo sana tajiri, Weka team zako chache tia mzigo wa kutosha...
Wananzengo hamjambo?
Humu kuna watu huwa wanakula panya, mbwa, punda, mende, mijusi, kenge na viumbe wengine wa ajabu ajabu.
Ebu tuambieni, mnavyokuwa mnawala huwa mnahisi ladha gani...
Kuna dogo mmoja alikuwa anatoka Mkoa anakuja Dar Es Salaam Sasa akamwambia konda.
Dogo: Konda tukifika Chalinze uniambie.
Konda: Sawa.
Gari likatembeaaaa sasa konda akasahau kumwambia dogo...